Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINGWENDU NIKIWA NYUMBANI SIWI KAMA MWANAUME

Na Imelda Mtema/Risasi
Mambo Vipi mpenzi msomaji wa Mpaka Home? Binafsi niko ngangari, bado nazidi kukata mbuga ili kuweza kufika katika kila nyumba ya staa hapa Bongo ili kuweza kukujuza wewe mpenzi msomaji wangu maisha halisi wanayoishi mastaa wetu na pengine kuweza kujifunza kupitia wao. Rashid Mwishehe ‘Kingwendu’ akiwa na familia yake. Wiki hii nilikuwa maeneo ya Kingugi- Mbagala jijini Dar, nyumbani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mkwere: Nikiwa nyumbani ni baba, mshauri, mume

Kwa akili ya haraka umwonapo unaweza kusema kuwa ni kijana anayepoteza muda katika anachokifanya. Akiwa kazini na kumwona katika luninga, unaweza kucheka hata ukashindwa kupumua kutokana na vituko vyake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjadala; Watanzania Diaspora, Tunawataka wajenge vihenge nyumbani, lakini hatutaki wawe na haki kama tulio nyumbani, kwanini?

MJENGWA

Ndugu zangu,

Leo alfajiri niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania.

Ni kwa nini tuna hofu na Watanzania wenzetu walio ughaibuni? Hofu hii ni ya kihistoria.

Kwanini kongamano hili la kwanza kufanyika lisiwe la mwisho kufanyika katika sura yake hii, kwamba maudhui ya kongamano yenyewe kuwa ni ; connect, engage, inform and ivest nako kunakosekana dhana integration kwa maana ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mwanaume aliyekiuka amri ya kukaa nyumbani aliwa na mamba Rwanda

Mwanaume mmoja nchini Rwanda ambaye alikiuka amri ya kukaa nyumbani ambayo inaendelea kutekelezwa nchini Rwanda na kuamua kwenda kuvua samaki ameuawa na mamba, Meya wa wilaya ya Kamonyi kusini mwa Rwanda ameiambia BBC.

 

10 years ago

GPL

MAAJABU MWANAUME APATA SIKU KAMA WANAWAKE

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
MAAJABU! Ndivyo unavyoweza kusema unapokutana na mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina  la Frank Kalamu (53) mkazi wa Ilala Jijini Dar es Salaam, aliyetoa ushuhuda wa kufunga mwaka kwamba kwa zaidi ya miaka miwili, alikuwa akipata siku zake kama ilivyo kwa wanawake, ingawa yeye ni kupitia njia ya haja kubwa. Frank Kalamu akiombewa kanisani. Akitoa ushuhuda huo ndani ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Simu ya Mwanaume Naiona Kama Bomu-Lulu

Siku hizi sio kitu cha ajabu kusikia au kuona wapenzi wamegombana na kufikia hadi kuachana kisa simu za mikononi.

Wapo wanaoishi kwenye dhana ya simu ya mkonomni ya mpenzi wako ni simu yako na wapo wanaoishi kwenye dhana ya kila mtu na simu yake na mambo yake hakuna kuchunguza simu ya mwenzio.

Mrembo na mwingizaji, Elizabeth Michael “Lulu” ameweka wazi mtanzamo wake kuhusu simu ya mpenzi wake kwa kusema yeye hawezi kuipekuwa kwani anaiona kama ni bomu.

Lulu aliandika hayo kwenye ukurasa...

 

9 years ago

Bongo5

Mabeste aliishi kama mtoto nyumbani kwa Dully Sykes

Mabeste na mpenzi wake

Rapa Mabeste ameweka wazi jinsi msanii mkongwe kwenye muziki Dully Sykes alivyomsaidia katika wakati mgumu maishani mwake.

Mabeste na mpenzi wake

Mabeste ambaye yupo katika mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka katika mbuga za Manyara National Park Arusha, ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa Dully ndiye Godfather kweye muziki wake.

Rapa huyo alisema kipindi chote alipokuwa anahangaika kuhusu muziki, Dully Sykes ndiye alikuwa msaada kwake, kuanzia kuvaa, kula na kulala na aliishi nyumbani kwa Dully kwa muda...

 

10 years ago

Vijimambo

UKIWA NA MKE KAMA HUYU MUME NYUMBANI MAPEMA NA JIKONI ATAINGIA

Naomi Peter akitoa kipondo kwa mumewe.UPEPO umegeuka! Imani ya kwamba wanaume ndiyo wamekuwa wakiwapa kipondo wake zao imegeuka, safari hii mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Peter akimpa kipondo ‘hevi’ mumewe John Shila mchana kweupe!Wawili hao wakazi wa Misheni, jijini Mwanza waliibua timbwili la aina yake ambalo liliwavuta watu wengi chanzo kikiwa ni mwanaume huyo kumkataa mtoto aliyezaa na mwanamke huyo.
Akizungumza na waandishi wetu, mmoja wa mashuhuda alisema wawili hao walioana...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yapiga marufuku ukataji wa miti nchini hata kama ikiwa mtu amepanda nyumbani kwake

unnamed3Naibu waziri wa Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri akiwa na wataalamu na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu wakikagua msitu wa Siha mkoani Kilimanjaoro alipotembelea juzi . Waziri Nyalandu aliruhusu nguzo nza umeme kupita katika msitu huo ili kuwezesha wananchi wa wilaya hiyo kupata umeme.
unnamedWaziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akimsalimia mmoja wa wagonjwa waliofuata huduma katika zahanati ya Ngarenanyuki wilayani Arumeru ,juzi  alipoitembelea baada ya Mbunge wa jimbo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani