Lulu akerwa na simu
MWANADADA anayetamba katika filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kero yake kubwa ni utumiaji wa simu za mkononi na anasumbuliwa sana na watu wasiokuwa na mambo ya msingi. Akizungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMCHUNGAJI AKERWA NA UCHAFU WA ANTI LULU
9 years ago
Bongo528 Oct
Lulu akerwa na headline ya gazeti ‘Mastaa waliozaa watoto wenye sura mbaya’
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Lulu: Nadhani sihitaji simu ya mkononi
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
VIJIMAMBO: Simu ya Mwanaume Naiona Kama Bomu-Lulu
Siku hizi sio kitu cha ajabu kusikia au kuona wapenzi wamegombana na kufikia hadi kuachana kisa simu za mikononi.
Wapo wanaoishi kwenye dhana ya simu ya mkonomni ya mpenzi wako ni simu yako na wapo wanaoishi kwenye dhana ya kila mtu na simu yake na mambo yake hakuna kuchunguza simu ya mwenzio.
Mrembo na mwingizaji, Elizabeth Michael “Lulu” ameweka wazi mtanzamo wake kuhusu simu ya mpenzi wake kwa kusema yeye hawezi kuipekuwa kwani anaiona kama ni bomu.
Lulu aliandika hayo kwenye ukurasa...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali. Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo...
11 years ago
Michuzi14 Apr
msaada tutani: dada uliyepoteza simu JKT unatafutwa upewe simu yako
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Kampuni ya Simu ya Tigo, Huawei wazindua simu ya watu wa hali ya chini jijini Dar
Meneja wa Vifaa vya Huawei, Peter Zhang Nchini (kulia), akionesha aina ya simu ya Huawei Y 360 na Y 625 ambazo zina uwezo wa hali ya juu katika matumizi ya nyanja mbalimbali wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam katika uzinduzi wa simu hizo. Kushoto ni Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga.
Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga, akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa ya uzinduzi...
5 years ago
MichuziMAFUNDI SIMU KIZIMBANI KWA KUJIHUSISHA NA SIMU ZILIZOFUNGWA
Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao leo Machi 11, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustina Mmbando.
Akisoma hati ya mashtaka wakili wa Serikali Easter Martin amedai Februari 27, mwaka huu...