Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHUNGAJI AKERWA NA UCHAFU WA ANTI LULU

Na Mwandishi Wetu
HILI nalo neno! Yapo madai kwamba, Mchungaji Christopher ambaye ni msaidizi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God ‘TAG’, Kinondoni jijini Dar amekuwa akikerwa na tabia chafu anazozisikia za msanii Lulu Mathias Semagongo ‘Antu Lulu’. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Antu Lulu’ akiwa Global TV Online. Utashangaa sana kwamba, hayo yalisemwa na Anti Lulu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

RC akerwa na uchafu Tanga

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mwantumu Mahiza amesema haridhishwi na kiwango cha usafi wa mazingira katika mitaa ya jiji la Tanga licha ya halmashauri hiyo kupongezwa kwa kushika nafasi ya pili kwa usafi hapa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

RC akerwa na uchafu Hospitali ya mkoa

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego ameuagiza uongozi wa Hospitali ya Mkoa ya Ligula kuhakikisha inafuata miongozo na kanuni za usafi katika hospitali hiyo ambayo kwa sasa imekithiri kwa uchafu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lulu akerwa na simu

MWANADADA anayetamba katika filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kero yake kubwa ni utumiaji wa simu za mkononi na anasumbuliwa sana na watu wasiokuwa na mambo ya msingi. Akizungumza...

 

9 years ago

Bongo5

Lulu akerwa na headline ya gazeti ‘Mastaa waliozaa watoto wenye sura mbaya’

Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekerwa na makala iliyoandikwa na gazeti moja la nchini yenye kichwa cha habari ‘Watoto wa mastaa wenye sura mbaya.’ Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lulu ameandika: Hivi dunia Imekuwaje!? Hiki kichwa cha habari. Gazeti linalosomwa na mamilioni ya watu unaandika upuuzi kama huu!? Ni basi tu hao watu mliwaandika […]

 

11 years ago

GPL

ANTI LULU ANASWA NA NJEMBA

MWANADADA asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ juzikati alinaswa ‘live’ akiwa kimalovee na mcheza soka wa zamani aitwaye Amani Simba. Wawili hao walibambwa kwenye ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar wakipunga upepo na walipowaona mapaparazi wa gazeti hili walishituka na kutaka kujificha. Akizungumzia uhusiano wake na Amani, Anti Lulu alisema: ”Jamani acheni udaku wenu, siku...

 

10 years ago

GPL

WASTARA, ANTI LULU WAPATANA

Brighton Masalu Safi sana! Mwigizaji Wastara Juma Issa Abeid na Mtangazaji Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’, wamepatana baada ya kuwepo kwa mkwaruzo kati yao kwa muda mrefu, kisa kikielezwa ni mwanaume ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movies, Bond Bin Sinan, Ijumaa Wikienda limehusika. Mwigizaji Wastara Juma Issa Abeid na Mtangazaji Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu wakiwa katika pozi. Kwa mbwembwe na mapozi...

 

10 years ago

GPL

PATI YA ANTI LULU MASHOGA KIBAO!

Stori: Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
Makubwa! Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ ameangusha bonge la pati huku ikihudhuriwa na mashoga kibao. Wanaume 'tata' wakilishana keki katika sherehe ya bethidei. Pati hiyo ya kufuru ambayo ilikuwa ni ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya kijana wa mjini aliyetajwa kwa jina moja la Abdul iliyoandaliwa na Anti Lulu ilifanyika katika Hoteli ya KB...

 

10 years ago

Bongo Movies

Anti Lulu Awatishia Wake za Watu

Staa wa Bongo Movies na mtangazaji mwenye vituko vingi na kujiachia kwa sana amekuja na mpya nyingine ya kuwakanya wanaomtukana katika mitandao ya kijamii kila anapoweka picha zake. Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinamuonesha maumbile yake wanawake.

"Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kuniyukana nikiweka picha zangu za Mungu alivoniumba ..mapaja yangu,hips zangu ma**ko yangu...sasa sijui kwanini mwatukana nyie wanawake angalieni nisiwabebee...

 

10 years ago

GPL

SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZANASWA

Stori: Waandishi Wetu Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ kumtumia ‘SMS’ za usagaji mwanaye aitwaye Zahara, Ijumaa lina kisa na mkasa.
Mama huyo, akiwa amefura, alitinga kwenye Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global Publishers...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani