ANTI LULU ANASWA NA NJEMBA

MWANADADA asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ juzikati alinaswa ‘live’ akiwa kimalovee na mcheza soka wa zamani aitwaye Amani Simba. Wawili hao walibambwa kwenye ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar wakipunga upepo na walipowaona mapaparazi wa gazeti hili walishituka na kutaka kujificha. Akizungumzia uhusiano wake na Amani, Anti Lulu alisema: â€Jamani acheni udaku wenu, siku...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLNJEMBA ANASWA AKICHAFUA MAZINGIRA
Njemba huyu amenaswa na kamera yetu akichafua mazingira maeneo ya Tazara jijini Dar es Salaam. (Picha: Gabriel Ng’osha / GPL)
10 years ago
GPL
NJEMBA ANASWA WIZI WA FEDHA ZA MTANDAONI
Stori: MASHAKA KISUSI,MWANZA/Risasi
JAMAA aliyetambulika kwa jina moja la Jacob, mkazi wa Majengo wilayani Misungwi, Mkoani Mwanza, amejikuta yuko mikononi mwa polisi wakati akifanya jaribio la wizi wa fedha sh. 70, 000 kupitia huduma za fedha za mtandao wa simu. Kijana Jacob anayedaiwa kuiba kwa kutumia…
11 years ago
GPL
NJEMBA ANASWA NA DENTI WA KIUME GESTI
Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
ISHARA za mwisho wa dunia? Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb amekula kichapo na kuishia mikononi mwa polisi baada ya kunaswa katika nyumba ya kulala wageni (gesti) akiwa na dogo wa kiume aliyedaiwa kuwa ni denti wa sekondari. Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb akiwa amepigw pingu baada ya kunaswa akiwa na mwanafunzi wa kiume gesti. Aibu hiyo ya karne ilijiri juzi Jumatatu kwenye...
10 years ago
GPL
ANASWA! NJEMBA ADAIWA KURUBUNI WAKE ZA WATU KINGONO
Dustan Shekidele, Morogoro Mji wa Morogoro umekumbwa na matukio mfululizo ya mafumanizi ambapo baada ya ticha wa shule ya msingi kufumaniwa na dereva wa bodaboda kisha jamaa kubondwa kwa kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu vichakani na denti wa upadri kufumaniwa, mwanzoni mwa wiki hii fumanizi lingine kiboko la njemba mwenye asili ya Kiarabu limetokea. Wakinamama (kushoto) wakimficha mwenzao (mke wa mtu) aliyenaswa kwenye...
10 years ago
GPL
RAFIKI WA LULU ANASWA NA UNGA!
Mwandishi wetu
Jamaa ambaye inasemekana ni rafiki wa karibu wa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ aitwaye Morris Sekwao ‘Junior’ inadaiwa amepata msala ‘hevi’ baada ya kutiwa mbaroni nchini Nigeria akituhumiwa kunaswa na madawa ya kulevya ‘unga’.Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa familia ya Junior zilidai kuwa, jamaa huyo alipatwa na mkasa huo hivi...
10 years ago
GPL
AUNTY LULU ANASWA KWA SANGOMA
Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa kwa sangoma mkoani Tanga ‘akitengenezwa’ ili kung’arisha nyota yake inayodaiwa kushuka.Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa kimemshuhudia msanii huyo akiwa kwa sangoma maeneo ya Handeni alikokaa kwa muda wa wiki moja sasa. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. “Mh, mmejuaje hayo? Kweli nipo Tanga kwa ndugu wa...
10 years ago
GPL
WASTARA, ANTI LULU WAPATANA
Brighton Masalu Safi sana! Mwigizaji Wastara Juma Issa Abeid na Mtangazaji Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’, wamepatana baada ya kuwepo kwa mkwaruzo kati yao kwa muda mrefu, kisa kikielezwa ni mwanaume ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movies, Bond Bin Sinan, Ijumaa Wikienda limehusika. Mwigizaji Wastara Juma Issa Abeid na Mtangazaji Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu wakiwa katika pozi. Kwa mbwembwe na mapozi...
11 years ago
GPL
ANTI LULU: NATAKA KUZAA NA DIAMOND
Stori: Waandishi Wetu
MOYO unahifadhi mengi! Msichana wa mjini asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ amefunguka kwamba yupo tayari kuzaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwani amepata taarifa kwamba anasaka mtoto lakini wanawake anaokuwa nao hawataki kumzalia, Ijumaa Wikienda linakupasha. Msichana wa mjini asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo...
11 years ago
GPL
SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZANASWA
Stori: Waandishi Wetu Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ kumtumia ‘SMS’ za usagaji mwanaye aitwaye Zahara, Ijumaa lina kisa na mkasa.
Mama huyo, akiwa amefura, alitinga kwenye Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global Publishers...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania