ANTI LULU: NATAKA KUZAA NA DIAMOND

Stori: Waandishi Wetu MOYO unahifadhi mengi! Msichana wa mjini asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ amefunguka kwamba yupo tayari kuzaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwani amepata taarifa kwamba anasaka mtoto lakini wanawake anaokuwa nao hawataki kumzalia, Ijumaa Wikienda linakupasha. Msichana wa mjini asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania29 Sep
Lulu: Nataka wazee kimaendeleo
NA SHARIFA MMASI
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema hupendelea uhusiano wa kimapenzi na wanaume wenye umri mkubwa kwake ili aweze kujifunza mengi kutoka kwao hata kama hawatokuwa wote maisha yote.
Lulu alisema kipindi alipokuwa katika uhusiano na wanaume wakubwa, alijifunza mambo mengi ambayo yanaendelea kumuweka daraja la juu katika mafanikio ya maisha yake ya sasa.
“Kipindi chote ambacho nimejikita kwenye uhusiano wa kimapenzi, nilikuwa nikipenda kuwa na...
10 years ago
GPL
ETI LULU ALILIA KUZAA
10 years ago
GPL
WASTARA, ANTI LULU WAPATANA
11 years ago
GPL
ANTI LULU ANASWA NA NJEMBA
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Diamond atamani kuzaa na Wema
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’, amesema anatamani kuwa na mtoto ili aweze kwenda sawa na wasanii wengine na angependa mpenzi wake Wema Sepetu ndiye...
10 years ago
Bongo Movies20 May
Anti Lulu Awatishia Wake za Watu
Staa wa Bongo Movies na mtangazaji mwenye vituko vingi na kujiachia kwa sana amekuja na mpya nyingine ya kuwakanya wanaomtukana katika mitandao ya kijamii kila anapoweka picha zake. Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinamuonesha maumbile yake wanawake.
"Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kuniyukana nikiweka picha zangu za Mungu alivoniumba ..mapaja yangu,hips zangu ma**ko yangu...sasa sijui kwanini mwatukana nyie wanawake angalieni nisiwabebee...
11 years ago
GPL
SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZANASWA
11 years ago
GPL
MCHUNGAJI AKERWA NA UCHAFU WA ANTI LULU
11 years ago
GPL
PATI YA ANTI LULU MASHOGA KIBAO!