PATI YA ANTI LULU MASHOGA KIBAO!

Stori: Gladness Mallya na Mayasa Mariwata Makubwa! Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ ameangusha bonge la pati huku ikihudhuriwa na mashoga kibao. Wanaume 'tata' wakilishana keki katika sherehe ya bethidei. Pati hiyo ya kufuru ambayo ilikuwa ni ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya kijana wa mjini aliyetajwa kwa jina moja la Abdul iliyoandaliwa na Anti Lulu ilifanyika katika Hoteli ya KB...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
LULU AMWAGA MINOTI KWENYE PATI!
11 years ago
GPL
ANTI LULU ANASWA NA NJEMBA
10 years ago
GPL
WASTARA, ANTI LULU WAPATANA
11 years ago
GPL
MCHUNGAJI AKERWA NA UCHAFU WA ANTI LULU
11 years ago
GPL
SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZANASWA
10 years ago
Bongo Movies20 May
Anti Lulu Awatishia Wake za Watu
Staa wa Bongo Movies na mtangazaji mwenye vituko vingi na kujiachia kwa sana amekuja na mpya nyingine ya kuwakanya wanaomtukana katika mitandao ya kijamii kila anapoweka picha zake. Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinamuonesha maumbile yake wanawake.
"Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kuniyukana nikiweka picha zangu za Mungu alivoniumba ..mapaja yangu,hips zangu ma**ko yangu...sasa sijui kwanini mwatukana nyie wanawake angalieni nisiwabebee...
11 years ago
GPL
ANTI LULU: NATAKA KUZAA NA DIAMOND
11 years ago
GPL
SIRI PENZI LA ANTI LULU, BONDI YAFICHUKA
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.