LULU AMWAGA MINOTI KWENYE PATI!

Waandishi wetu ULE msemo wa ‘pata pesa tuone tabia yako’ huenda ni kweli, kufuatia staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ambaye siku hizi anaitwa ‘tajiri mtoto’ kutokana na kuwa na fedha na kumwaga ‘minoti’ (pesa) kwenye pati, Ijumaa ‘Kubwa’ lilikuwepo. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1GTy4Qd ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
PATI YA ANTI LULU MASHOGA KIBAO!
10 years ago
GPL
KAJALA AMMWAGIA ZARI MINOTI!
10 years ago
GPL
MINOTI YA ESCROW INAUMA SANA!
11 years ago
Michuzi25 May
MH. MOHAMMED DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127 KWENYE TAASISI ZA DINI ZAIDI 80 JIMBONI KWAKE


11 years ago
Dewji Blog25 May
Mh. Mohammed G.Dewji (MO) amwaga msaada wa zaidi ya shilingi Milioni 127 kwenye Taasisi za Dini zaidi 80 Jimboni kwake
Mbunge wa Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na viongozi wa Mahakama ya Qadhi wakati alipotembelea Mahakama hiyo kuona namna inavyohudumia waumini wa Dini ya Kiislamu katika kutatua migogoro ya ndoa.
Sheikh wa Mahakama ya Qadhi, Ramadhani Kaoja akimweleza Mheshimiwa Mbunge shughuli za Mahakama hiyo pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili, Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida Mjini , Hamis Nguli, wa pili kulia ni Katibu wa Mahakama ya Qadhi, Alhajj B. Mlau.
Mbunge...
11 years ago
GPL
MOHAMMED DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127 KWENYE TAASISI ZA DINI ZAIDI YA 80 JIMBONI KWAKE
11 years ago
GPL
CHUCHU, RAY WAMMWAGIA MINOTI CHOKY
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Minoti ya zawadi yamchanganya Pastor Myamba

Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba
NA PAULINA LYAPA (TUDARCO)
MWIGIZAJI wa filamu za bongo, Emmanuel Myamba, maarufu kwa jina la Pastor Myamba, amesema hakutegemea kupata kiasi kikubwa cha zawadi ya fedha katika sherehe ya harusi yake iliyofanyika Visiwani Zanzibar katika ukumbi wa Bwawani, hali ambayo anaona inamchanganya.
Katika sherehe hiyo, mwigizaji huyo alipokea zawadi mbalimbali kutoka ndugu, jamaa na marafiki wa karibu, zikiwemo fedha alizokabidhiwa na kamati zilizobebwa...
11 years ago
CloudsFM25 Jun
LULU AKANA KUSHIRIKISHWA NA MAPACHA KWENYE NGOMA YAO MPYA
Ngoma ya wasanii Mapacha waliyoiachia juzi ndani ya xxl,iitwayo ‘it for the money’ ambayo wamemshirikisha staa wa filamu za Kibongo,Elizabeth Michael’lulu’ imeleta utata baada ya msanii huyo wa Bongo Movie kukanusha kushirikishwa kwenye ngoma hiyo.
Kupitia mtandao wa Instagram Lulu aliandika hivi baada ya ngoma hiyo kutambulishwa.,, I swear sina idea na Huku kushirikishwa....au kuna Elizabeth Michael'Lulu' mwingine!????Dah...hebu mliosikia hiyo nyimbo labda mniambie maana nashirikishwa...