MINOTI YA ESCROW INAUMA SANA!

Stori: Ojuku Abraham THIS is not fair (Hii siyo sawa)! Tunaweza kufumba macho na kuacha kusema kinachoendelea katika baadhi ya ‘madudu’ serikalini, lakini linapokuja suala la uchotwaji wa Sh. bilioni 306 za umma kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow, tuache masihara, minoti hiyo iliyoibwa na wajanja wachache, inauma sana, Ijumaa Wikienda linakudadavulia zaidi. Mfano wa burungutu la fedha yaliyochotwa Benki Kuu. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
INAUMA SANA: MTOTO AKATWA UUME!
11 years ago
GPL
INAUMA SANA! MFANYABIASHARA AMCHARANGA MAPANGA ALBINO
10 years ago
Vijimambo08 Jan
INAUMA SANA KUONA MSANII MWENZETU KIJANA DAZ BABA AKIWA KATIKA KHALI HII MBAYA...TUMSAIDIE JAMANI

10 years ago
GPL
KAJALA AMMWAGIA ZARI MINOTI!
10 years ago
GPL
LULU AMWAGA MINOTI KWENYE PATI!
11 years ago
GPL
CHUCHU, RAY WAMMWAGIA MINOTI CHOKY
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Minoti ya zawadi yamchanganya Pastor Myamba

Mwigizaji wa filamu nchini, Emmanuel Myamba
NA PAULINA LYAPA (TUDARCO)
MWIGIZAJI wa filamu za bongo, Emmanuel Myamba, maarufu kwa jina la Pastor Myamba, amesema hakutegemea kupata kiasi kikubwa cha zawadi ya fedha katika sherehe ya harusi yake iliyofanyika Visiwani Zanzibar katika ukumbi wa Bwawani, hali ambayo anaona inamchanganya.
Katika sherehe hiyo, mwigizaji huyo alipokea zawadi mbalimbali kutoka ndugu, jamaa na marafiki wa karibu, zikiwemo fedha alizokabidhiwa na kamati zilizobebwa...
11 years ago
GPL
INAUMA!
11 years ago
GPL
SIMULIZI YA RECHO INAUMA