Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INAUMA!

Stori:Gladness Mallya na Hamida Hassan
Inauma sana! Zikiwa zimekatika takriban siku 18 tangu alipofariki dunia aliyekuwa staa wa sinema za Kibongo, Sheila Leo Haule ‘Recho’ (26) na mwanaye, imefahamika kuwa mzimu wake bado unamtesa mumewe, Saguda George. Nyumba aliyopangisha Saguda na marehemu Recho Haule ambayo walilipia kodi ya shilingi milioni tatu iliyoko maeneo ya Kinondoni, Dar. Habari zilieleza kwamba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIMULIZI YA RECHO INAUMA

Stori: Waandishi Wetu
HUKU makovu ya machungu ya kifo cha msanii wa filamu za Kibongo, Rachel (Sheila) Leo Haule ‘Recho’ yakiwa bado hayajakauka, Risasi Jumamosi linakupa simulizi yenye maumivu kuhusu marehemu huyo. Mchumba wa marehemu Saguda akilia kwa uchungu. Recho alifariki dunia Mei 27, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Inauma Kiswahili kushushwa hadhi

Katika makala zangu nilizowahi kuandika, nimeibua mawazo mengi kutoka kwa wasomaji wangu ambao wananiletea ujumbe kwa njia ya mitandao ya kijamii kwa mfano Facebook.e.

 

10 years ago

GPL

MINOTI YA ESCROW INAUMA SANA!

Stori: Ojuku Abraham
THIS is not fair (Hii siyo sawa)! Tunaweza kufumba macho na kuacha kusema kinachoendelea katika baadhi ya ‘madudu’ serikalini, lakini linapokuja suala la uchotwaji wa Sh. bilioni 306 za umma kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow, tuache masihara, minoti hiyo iliyoibwa na wajanja wachache, inauma sana, Ijumaa Wikienda linakudadavulia zaidi.
Mfano wa burungutu la fedha yaliyochotwa Benki Kuu. ...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA MCD, SIMULIZI INAUMA

Na Musa Mateja na Deogratius Mongela
KIFO cha aliyekuwa mpiga ngoma (tumba) maarufu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Soud Mohamed ‘MCD’ kimeacha simulizi inayouma, Amani linalia sanjari na ndugu. Marehemu MCD akiwa kazini enzi za uhai wake. MCD ambaye Agosti 4, 2013 alimpoteza baba yake mzazi, alifariki dunia usiku wa kuamkia Januari 28, mwaka huu katika Hospitali ya...

 

10 years ago

GPL

INAUMA SANA: MTOTO AKATWA UUME!

Deogratias mongela/Ijumaa
MTOTO aitwaye Badru Muhidin mwenye umri wa miaka miwili, amepata pigo kubwa baada ya kukatwa uume wake kimakosa na babu yake aliyekuwa amempeleka kutahiriwa kienyeji huko Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Mtoto aitwaye Badru Muhidin akiwa na mama yake. Mama mzazi wa mtoto huyo, Mwajuma Hussein ambaye ni mkazi wa Yombo jijini Dar, alisema aliishi na mwanaye peke yake bila baba...

 

10 years ago

GPL

INAUMA SANA! MFANYABIASHARA AMCHARANGA MAPANGA ALBINO

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro INAUMA sana! Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro likimshikilia mkazi wa wilayani Mvomero, Johnson Damian Mkude kwa msala wa kumchinja mdogo wake na kupeleka kichwa kwa mganga wa kienyeji ili awe bilionea, jeshi hilo linamshikilia mfanyabiashara mwingine maarufu mkoani hapa aitwaye Lyimo kwa tuhuma za kumcharanga mapanga Damas Valeniani (36) ambaye ni  mlemavu wa ngozi (albino). Mlemavu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

INAUMA SANA KUONA MSANII MWENZETU KIJANA DAZ BABA AKIWA KATIKA KHALI HII MBAYA...TUMSAIDIE JAMANI

Inauma sana kuona kijana mwenzetu yupo katika hali hii...Huyu ni msanii mkubwa na maarufu sana hapa Tz na uhakika kila mtu atakuwa anamkumbua#DazBaba aliyekuwa na mmoja katika kundi la#Daznundaz kama sikosei... Sababu ya kuwa hivi ni#Madawa_ya_kulevya.. Na chanzo kikubwa cha madawa ni baadh ya matajiri kujiingiza katika biashara hii ambayo inatuharibia nguvu kazi ya taifa..#Daz ni kijana mdogo sana na ukimwangalia kwenye pic utadhani mzee...Naamini bado hatujachelewa tunaweza kubadilisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani