KIFO CHA MCD, SIMULIZI INAUMA
![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZdCQEY7ivUI8rCk-nABAIJd1nbgdCZoVlubygnzeX9XjJGq8eE5QF*B6QOqRMzGkgSa6pxI6xHigUYR6pIT7Wze/kifo.jpg?width=650)
Na Musa Mateja na Deogratius Mongela KIFO cha aliyekuwa mpiga ngoma (tumba) maarufu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Soud Mohamed ‘MCD’ kimeacha simulizi inayouma, Amani linalia sanjari na ndugu. Marehemu MCD akiwa kazini enzi za uhai wake. MCD ambaye Agosti 4, 2013 alimpoteza baba yake mzazi, alifariki dunia usiku wa kuamkia Januari 28, mwaka huu katika Hospitali ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Wasanii walivyoguswa na kifo cha ‘MCD’
TASNIA ya muziki wa dansi Jumanne ya wiki hii imepata pigo baada ya kumpoteza mpiga tumba maarufu, Soud Mohamed ‘MCD’, aliyezikwa juzi nyumbani kwao Majengo, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YWMj-J29SNzB3kGvp5sfZzyjvEeqcqrswtr-uSG*WF3GyFN0P98aVvT7lM0PfBMEBJqhv7A6QdcyZwkXwNIQM4BZP*MzSdtA/recho.jpg)
SIMULIZI YA RECHO INAUMA
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/AcAHLBDbnug/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Simulizi za kusisimua shule zilizotamba matokeo kidato cha nne
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2g94ojWadS3gYVRtIHOtsxoP6wZWjmaPNyD*9Xp9oda-d*t9EGmMjXDVaBgcWNqtdGzHCPi0dMUNlbdJTPBexW/inauma.jpg)
INAUMA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bgWZynVz*oWPxSnpdx81*nEWKnfR3YzfSf-rKjECbrgybhW*Lm71cHR*WwDE5OZ1owfBZc4HOPQOKXfTAK2yAQMGr3bGNgag/secky2.jpg)
FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY
10 years ago
GPLCHUO CHA IMAMU JAFAR SWADIQ CHAADHIMISHA KIFO CHA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Lulu: Sina cha Kusema Wala Tamko Kuhusu Kifo cha Seki
Kufuatia kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu Bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, Staa wa Bongo Movies Elizaberth Michael ‘Lulu’ amesema hana la kusema na hana tamko lolote fufuatia kifo cha Seki.
Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda Juzi, lililotaka kujua taarifa za yeye kuhusishwa na bilionea huyo pamoja na mambo mengine, Lulu alijibu kwa kifupi;
Mwandishi: “Lulu kwanza tumesikia unaumwa na umelazwa, ni kweli?”
Lulu: “Siyo...