LULU AKANA KUSHIRIKISHWA NA MAPACHA KWENYE NGOMA YAO MPYA
Ngoma ya wasanii Mapacha waliyoiachia juzi ndani ya xxl,iitwayo ‘it for the money’ ambayo wamemshirikisha staa wa filamu za Kibongo,Elizabeth Michael’lulu’ imeleta utata baada ya msanii huyo wa Bongo Movie kukanusha kushirikishwa kwenye ngoma hiyo.
Kupitia mtandao wa Instagram Lulu aliandika hivi baada ya ngoma hiyo kutambulishwa.,, I swear sina idea na Huku kushirikishwa....au kuna Elizabeth Michael'Lulu' mwingine!????Dah...hebu mliosikia hiyo nyimbo labda mniambie maana nashirikishwa...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo523 Aug
Video: MB Dogg aezelea ujio mpya, ngoma yake na Q-Chief na bendi yao
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Lulu awakana Mapacha
BAADA ya wasanii wa kundi la Mapacha, kutambulisha ngoma yao mpya inayojulikana kwa jina la ‘Time For The Money’ waliyodai kumshirikisha nyota wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, msanii huyo...
9 years ago
Bongo516 Sep
Flavour kumshirikisha Diamond kwenye ngoma mpya
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Skylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na kutambulisha Studio yao mpya
![skylight band 2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band-2.jpg)
Meneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.
![skylight band](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band.jpg)
Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza...
10 years ago
Bongo520 Apr
Mzee Yusuf kumshirikisha Diamond kwenye ngoma mpya
10 years ago
Bongo510 Dec
Audio: Nikki Mbishi alegeza kwenye ngoma mpya ‘Tulia’
9 years ago
Bongo511 Nov
Mo Music apanga kumtumia Lulu kwenye video yake mpya
![mo music](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mo-music-300x194.jpg)
Hitmaker wa Basi Nenda, Mo Music amesema anajipanga kufanya mazungumzo na muigizaji Elizabeth ‘Lulu’ Michael ili awe mrembo kwenye video yake inayokuja.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa Lulu ni muigizaji mzuri anayeweza kucheza vizuri katika video hiyo.
“Plan zipo za kumtumia, sema bado sijazungumza naye lakini ipo kwenye mpango wa kufanya naye mazunguzo,” amesema Mo.
“Lulu ni muigizaji mzuri sana na pia namkubali kazi zake ndio maana nikaona kama akikaa kwenye project yangu mpya itakuwa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Lulu akana kumuua Kanumba
MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amekana shitaka linalomkabili la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, aliyefariki dunia alfajiri ya Aprili 7, mwaka 2012. Licha ya kukana...