Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu akana kumuua Kanumba

MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amekana shitaka linalomkabili la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, aliyefariki dunia alfajiri ya Aprili 7, mwaka 2012. Licha ya kukana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Madai ya Kumuua Kanumba…Lulu Kizimbani Tena

MAMBO yameiva! Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ (20) yu mbioni kupanda tena Kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ishu yake ile ya madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Amani lina ripoti mkononi.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka ndani ya mahakama hiyo jijini Dar, kesi hiyo ilisimama kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wa...

 

10 years ago

GPL

MADAI YA KUMUUA KANUMBA, LULU KIZIMBANI TENA


Stori: Na Brighton Masalu MAMBO yameiva! Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ (20) yu mbioni kupanda tena Kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ishu yake ile ya madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu , Amani lina ripoti mkononi. Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka ndani ya...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: msanii wa filamu elizabeth kimemeta a.k.a lulu kuanza kujibu mashtaka ya kumuua bila kukusudia steven kanumba Februari 17

Msanii wa filamu Elizabeth Michael Kimemeta (18), maarufu kama Lulu (pichani) anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba (28), anatarajia kujibu mashitaka yake kwa mara ya kwanza Februari 17, mwaka huu katika Mahakakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam.  Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya kesi za mauaji na bila kukusudia, iliyotolewa na Mahakama Kuu kwa kanda hiyo, kesi ya Lulu itasikiliza mbele ya Jaji Rose Teemba na mshtakiwa atajibu mashitaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Akana njama ya kumuua Mugabe

Makamu wa Rais nchini Zimbabwe, anasema anachukua hatua za kisheria dhidi ya shirika la habari la kitaifa kwa kumhusisha na njama ya kumuua Rais Robert Mugabe.

 

5 years ago

Bongo5

Lulu akana taarifa kuhusu Ndoa

Muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) akana kutoa taarifa za ndoa yake.

Hivi karibuni magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yaliobnekana kufanya mahojiano na mrembo huyo na kuripoti kuwa ndoa yake na mpenzi wake Fransic Shiza maarufu kama Majay ambaye pia ni bosi wa EFM na TVE inakaribia.

Kupitia mtandao wa Twitter, Lulu amekanusha taarifa hizo kwa kuandika, “Hivi kwa Akili yenu Ndoa inatangazwaga Kwenye Magazeti!??Muwege mnajiongeza kabla ya kuparamia Story…!.”

Kwenye gazeti la Mtanzania la siku...

 

11 years ago

TheCitizen

I quarrelled with Kanumba: Lulu

A local actress, Ms Elizabeth Michael aka Lulu, yesterday confessed to have quarrelled with star actor Steven Kanumba but she denied to have caused his death.

 

11 years ago

GPL

LULU: SITESWI NA KANUMBA

Stori: Mayasa Mariwata ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kwa sasa hateswi na kumbukumbu ya tukio la marehemu Steven Kanumba kama ilivyokuwa zamani. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Alipobanwa kuhusu kusumbuliwa na Kanumba aliyekuwa mpenzi wake, Lulu alisema:
“Imeshapita muda mrefu sasa, kama binadamu namkumbuka lakini siyo kama kipindi kile, ilikuwa picha ikinirudia mara kwa mara, hata hivyo...

 

11 years ago

CloudsFM

LULU AKANA KUSHIRIKISHWA NA MAPACHA KWENYE NGOMA YAO MPYA

Ngoma ya wasanii Mapacha waliyoiachia juzi ndani ya xxl,iitwayo ‘it for the money’ ambayo wamemshirikisha staa wa filamu za Kibongo,Elizabeth Michael’lulu’ imeleta utata baada ya msanii huyo wa Bongo Movie kukanusha kushirikishwa kwenye ngoma hiyo.Kupitia mtandao wa Instagram Lulu aliandika hivi baada ya ngoma hiyo kutambulishwa.,, I swear sina idea na Huku kushirikishwa....au kuna Elizabeth Michael'Lulu' mwingine!????Dah...hebu mliosikia hiyo nyimbo labda mniambie maana nashirikishwa...

 

11 years ago

GPL

LULU AMSHANGAZA MAMA KANUMBA

Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema
MSANII wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’, mwanzoni mwa wiki hii alimshangaza (surprise) mama wa mpenzi wake wa zamani, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa wakati alipokuwa akisherehekea miaka 58 tokea alipozaliwa. Kumshangaza huko kumekuja baada ya Lulu kufika nyumbani kwa mama Kanumba, Kimara Temboni jijini Dar akiwa na bonge la keki, jambo ambalo mama huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani