Lulu akana taarifa kuhusu Ndoa
Muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) akana kutoa taarifa za ndoa yake.
Hivi karibuni magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yaliobnekana kufanya mahojiano na mrembo huyo na kuripoti kuwa ndoa yake na mpenzi wake Fransic Shiza maarufu kama Majay ambaye pia ni bosi wa EFM na TVE inakaribia.
Kupitia mtandao wa Twitter, Lulu amekanusha taarifa hizo kwa kuandika, “Hivi kwa Akili yenu Ndoa inatangazwaga Kwenye Magazeti!??Muwege mnajiongeza kabla ya kuparamia Story…!.”
Kwenye gazeti la Mtanzania la siku...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Lulu Afunguka Kuhusu Malengo ya Ndoa Yake Kukwama
Mrembo na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kuelezea ni kwajinsi gani anavyo lichukulia swala la lengo lake alilojiwekea la kuolewa mwaka 2014 kushindikana, kwa kusema kuwa imeshindikana lakini hajilaumu wala hamlaumu mtu yeyote kwa kutotimiza suala hilo kwani anaamini Mungu ndiye anayewezesha kila kitu.
Akizungumza na paparazi wa GPL hivi karibuni, Lulu alisema mwaka 2014 alikuwa na malengo mengi likiwemo suala la ndoa lakini kwa kuwa Mungu ndiye muweza, atapanga upya suala...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Lulu akana kumuua Kanumba
MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amekana shitaka linalomkabili la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, aliyefariki dunia alfajiri ya Aprili 7, mwaka 2012. Licha ya kukana...
11 years ago
CloudsFM25 Jun
LULU AKANA KUSHIRIKISHWA NA MAPACHA KWENYE NGOMA YAO MPYA
Ngoma ya wasanii Mapacha waliyoiachia juzi ndani ya xxl,iitwayo ‘it for the money’ ambayo wamemshirikisha staa wa filamu za Kibongo,Elizabeth Michael’lulu’ imeleta utata baada ya msanii huyo wa Bongo Movie kukanusha kushirikishwa kwenye ngoma hiyo.
Kupitia mtandao wa Instagram Lulu aliandika hivi baada ya ngoma hiyo kutambulishwa.,, I swear sina idea na Huku kushirikishwa....au kuna Elizabeth Michael'Lulu' mwingine!????Dah...hebu mliosikia hiyo nyimbo labda mniambie maana nashirikishwa...
10 years ago
GPL![](http://vibe.co.tz/wp-content/uploads/2014/11/Elizabeth-Michael-Lulu.jpg?width=650)
NDOA YA LULU YABUMA!
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZLrbuSNVVEY/VA3Ak11d-KI/AAAAAAAGh-0/zDT7_3zTL4c/s72-c/Untitled.jpg)
TAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA KUHUSU TAARIFA ZA UZUSHI ZINAZOZAGAA KUWA BABU SEYA NA MAWAE WAMEACHIWA HURU
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZLrbuSNVVEY/VA3Ak11d-KI/AAAAAAAGh-0/zDT7_3zTL4c/s1600/Untitled.jpg)
Napenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa hizo zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za Uongo na uzushi mkubwa na zinalenga kuipotosha jamii kwani wafungwa hao wapo gerezani na...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-hBmt2I0IwwM/VcWf1c2IDvI/AAAAAAABTRg/f8ibKkz59OM/s72-c/CL3WowIUcAEVYWv.jpg)
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Mama Lulu Funguka Mambo Mazito Kuhusu Mwanaye!
Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana!
Mama Lulu amefunguka hayo siku kadhaa baada ya mitandao ya kijamii kuchafuka kwa habari za binti yake na wanaume hasa wa watu huku mwenyewe (Lulu) akiwa nyumbani kwake Mbezi-Beach jijini Dar akiwa hana hili...
9 years ago
Bongo508 Oct
Barnaba amshauri Lulu haya kuhusu uigizaji wa filamu