Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barnaba amshauri Lulu haya kuhusu uigizaji wa filamu

Barnaba Elias ameusifia uigizaji wa Elizabeth Michael aka Lulu lakini amemtaka kubadilika na kutafuta aina moja ya uigizaji ambao utakuwa unamtambulisha. Akizungumza na kipindi cha DJ Show cha Radio One, Barnaba alisema anapenda kuangalia filamu za kibongo na anashangaa kuona watu wanabeza kazi hizo. “Lulu anafanya vizuri lakini atambue anatakiwa kutafuta sehemu moja anayofiti, jinsi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mtunis Atoboa Haya Kuhusu Tasnia ya Filamu

Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘mtunis’ amesema kuwa tasnia ya uigizaji inahitaji umakini zaidi ili kujikosoa penye makosa. Alisema licha ya kwamba  filamu zinadaiwa  hazilipi hiyo  siyo sababu yakutayarisha zisizokuwa na ubora.

Alifafanua hata wakongwe wanapoibua chipukizi wanapaswa kuzingatia wenye vipaji zaidi ili tasnia huyo iendelee kufanya vizuri .

Alieleza kuwa hakuna kitu kibaya kama mtu anayekuamini akikudharau harudi nyuma, hivyo kwa kuwa makini kutayarisha filamu bora na...

 

9 years ago

Bongo Movies

JB Afunguka Haya Kuhusu Marehemu Adam Kuambiana na Ujio wa Filamu Mpya

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram staa wa Bongo Movies , Jacob Stephen ‘JB’ ameendelea kusifia kipaji cha sanaa alichokuwanacho marehenu Adam Kuambiana ambaye atakuwepo kwenye filamu mpya itakayotoka wiki ijayo inayokwenda kwa jina la mahabusi aliyoicheza kabla ya kufariki dunia.

“Moja kati ya waigizaji ambao sitaacha kuwasifia ingawa tayari ametangulia mbele za haki....Adam Kuambiana....ana sauti, ana hisia na anajua....Yeye pamoja na dada mmoja anayeitwa Bridgete. aliyewahi...

 

10 years ago

Mwananchi

Makoye amshauri Maximo kuhusu Coutinho

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Ephraim Makoye ‘Dogo’, amesema kocha Marcio Maximo anatakiwa kumpeleka ‘gym’ kiungo wake, Andrey Coutinho kwa kuwa hana nguvu za kutosha kupambana na mabeki wa Kitanzania. 

 

10 years ago

Dewji Blog

Msanii Lulu aitambulisha filamu yake mpya iitwayo Mapenzi ya Mungu, filamu yaingia sokoni leo

Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.

IMG_6776

 Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa...

 

10 years ago

Michuzi

Filamu:Pata Filamu ya Lulu, Kupitia Mtandao

Kununua au Kuangalia Filamu Hii unaweza fuata kiunganishi hiki http://www.proinpromotions.co.tzTo watch online or to buy this movie just click the cover photo or follow this link http://www.proinpromotions.co.tz

 

10 years ago

Michuzi

Julianne More na Eddie Redmayne washinda tuzo za uigizaji bora wa filamu za oscar

Mwigizaji  Julianne Moore ndiye mshindi wa mwaka huu wa waigizaji sinema wa kike na kushinda tuzo ya Oscar kwa kucheza vyema kwenye filamu ya "Still Alice."Usiku wa kuamka leo huko Marekani, Moore amewashinda Felicity Jones ("The Theory of Everyting"), Marion Cotillard ("Two Days, One Night"), Reese Witherspoon ("Wild") na  Rosamund Pike ("Gone Girl) katika kinyang'anyiro hicho.  Awali alipendekezwa mara tano kugombea tuzo hiyo ya juu katika tasnia ya sinema duniani, na ni mmoja wa waigizaji...

 

11 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA BURE YA UIGIZAJI FILAMU NA UIMBAJI: RAFIKI ELIMU MUSIC & FILM ACADEMY

·        Je  wewe  ni  kijana  wa  kitanzania? ·       Una  umri  wa  kuanzia  miaka 15  na  kuendelea ? ·       Una  ndoto za  kuwa  muigizaji filamu  mkubwa  nchini  Tanzania? ·       Una  ndoto  za  kuwa  mwanamuziki ama  muimbaji  mkubwa hapa  Tanzania ? RAFIKIELIMU  MUSIC &FILM  ACADEMY   ni  kituo  kinachotoa  mafunzo  ya  UIGIZAJI  na  UIMBAJI  kwa  vijana wa kitanzania  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  kumi  na  tano na  kuendelea. Wahitimu  wa  mafunzo  haya  hupata  nafasi  ya ...

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO

 Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga. Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa wasanii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani