Mtunis Atoboa Haya Kuhusu Tasnia ya Filamu
Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘mtunis’ amesema kuwa tasnia ya uigizaji inahitaji umakini zaidi ili kujikosoa penye makosa. Alisema licha ya kwamba filamu zinadaiwa hazilipi hiyo siyo sababu yakutayarisha zisizokuwa na ubora.
Alifafanua hata wakongwe wanapoibua chipukizi wanapaswa kuzingatia wenye vipaji zaidi ili tasnia huyo iendelee kufanya vizuri .
Alieleza kuwa hakuna kitu kibaya kama mtu anayekuamini akikudharau harudi nyuma, hivyo kwa kuwa makini kutayarisha filamu bora na...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies20 Dec
BABA HAJI: Bila Haya Tasnia ya Filamu Itayumba
Mwigizaji Haji ‘Baba Haji’ Adam amesema soko la filamu lipo isipokuwa limekosa msisimuko kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo baadhi ya wasanii kukosa ubunifu na kutunga kazi zisizokuwa na ubora. Kauli hiyo ya Baba Haji inatofautiana na za baadhi ya wasanii wenzake ambao wamekuwa wakilalamikia kukosekana kwa soko hilo huku wakitaja sababu kadhaa.
![Baba Haji](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/adam.jpg)
Baba Haji
Anazitaja baadhi ya sababu zinazochangia kukosekana kwa msisimko huo kuwa ni wasanii kutunga bora liende, kutumia CD yenye filamu...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Ray Atoboa ya Moyoni Kuhusu Filamu ya OPRAH
“Ni kati ya movie ninazozipenda sana . pia naweza thubutu kusema ni movie iliyofanya mabadiliko makubwa sana kwenye film industry nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yetu. pia ndiyo movie iliyomtangaza Irene Uwoya kwenye ulimwengu wa filamu. kwa hiyo nina kila sababu ya kuipenda movie hii. OPRAH HOT SUNDAY”. Ray ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya kasha la filamu hiyo.
Wewe kama mdau unamaoni gani juu ya kazi hii ya OPRAH iliyotoboa mipaka ya nchi?...
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Hapa na Pale: JB Atoboa Kuhusu Filamu Yake ya Singnature Ilivyopigwa Chini na Steps
“Leo nimejisikia kuongelea filamu zangu za zamani.samahani kwa picha ya cover lakini hembu tukumbuke, hapa niliwakutanisha Aunt,Wolper,Odama na Cloud112 kwenye filam hii na nyingine ya 14 days nilizitengeneza muda mrefu sana 2009 lakini nikazipeleka sokoni kwa pamoja, Steps wakasema watachukua 14days tu, hivyo hii signature nikamuuzia Kapico baada ya mwaka 1 aliomba kuinunua tena toka Kapico kwa bei kubwa zaidi.inaitwa signature”. JB amebandika mtandaoni andiko hili.
Kama umeziangalia...
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
9 years ago
Bongo508 Oct
Barnaba amshauri Lulu haya kuhusu uigizaji wa filamu
9 years ago
Bongo Movies10 Sep
JB Afunguka Haya Kuhusu Marehemu Adam Kuambiana na Ujio wa Filamu Mpya
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram staa wa Bongo Movies , Jacob Stephen ‘JB’ ameendelea kusifia kipaji cha sanaa alichokuwanacho marehenu Adam Kuambiana ambaye atakuwepo kwenye filamu mpya itakayotoka wiki ijayo inayokwenda kwa jina la mahabusi aliyoicheza kabla ya kufariki dunia.
“Moja kati ya waigizaji ambao sitaacha kuwasifia ingawa tayari ametangulia mbele za haki....Adam Kuambiana....ana sauti, ana hisia na anajua....Yeye pamoja na dada mmoja anayeitwa Bridgete. aliyewahi...
10 years ago
VijimamboWADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.