Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Julianne More na Eddie Redmayne washinda tuzo za uigizaji bora wa filamu za oscar

Mwigizaji  Julianne Moore ndiye mshindi wa mwaka huu wa waigizaji sinema wa kike na kushinda tuzo ya Oscar kwa kucheza vyema kwenye filamu ya "Still Alice."Usiku wa kuamka leo huko Marekani, Moore amewashinda Felicity Jones ("The Theory of Everyting"), Marion Cotillard ("Two Days, One Night"), Reese Witherspoon ("Wild") na  Rosamund Pike ("Gone Girl) katika kinyang'anyiro hicho.  Awali alipendekezwa mara tano kugombea tuzo hiyo ya juu katika tasnia ya sinema duniani, na ni mmoja wa waigizaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Lupita Nyong'o kutoka kenya ashinda tuzo ya oscar ya muigizaji msaidizi bora wa kike

Muigizaji Lupita Nyong'o kutoka Kenya amenyakuwa tuzo ya Oscar ya mwigizaji msaidizi wa kike (Best Supporting actress) kwa uigizaji wake katika  filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.'' leo  alfajiri mjini Los Angeles, Marekani.  Muigizaji  Will Smith ndiye aliyetangaza matokeo hayo, na baada ya kupokea tuzo hiyo kwa shangwe Lupita alifunguka na kusema: " Haikwepi mawazo yangu kwamba hata dakika moja ya furaha katika maisha yangu ni shukrani na maumivu makubwa kwa mtu mwingine.'' pia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Oscars 2020: Filamu hushindaje tuzo ya picha bora?

Oscars 2020: Filamu hushindaje tuzo ya picha bora? Bajeti, umaarufu wa filamu kwenye kumbi za sinema, muda na aina ya filamu zina mchango lakini kwa namna usiyoweza kutarajia

 

10 years ago

BBCSwahili

Eddie Howe awa meneja bora England

Kocha wa timu ya soka Bournemouth ya England Eddie Howe ametajwa kuwa meneja bora wa mwaka wa shirikisho la mameneja wa soka nchini Uingereza LMA.

 

9 years ago

GPL

JB: BORA UIGIZAJI KULIKO UBUNGE

Mkurugenzi wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’. Erick evarist MKURUGENZI wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’ ameweka wazi kuwa kamwe hafikirii kuwa mwanasiasa kwani sanaa inamlipa zaidi.Akizungumza na mwanahabari wetu katika mahojiano mafupi, JB alisema kipindi cha nyuma ziliibuka tetesi kuwa huenda anaweza kuwa mwanasiasa lakini ukweli kutoka moyoni, sanaa inamlipa. “Sanaa inanilipa, sifikirii kama...

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba amshauri Lulu haya kuhusu uigizaji wa filamu

Barnaba Elias ameusifia uigizaji wa Elizabeth Michael aka Lulu lakini amemtaka kubadilika na kutafuta aina moja ya uigizaji ambao utakuwa unamtambulisha. Akizungumza na kipindi cha DJ Show cha Radio One, Barnaba alisema anapenda kuangalia filamu za kibongo na anashangaa kuona watu wanabeza kazi hizo. “Lulu anafanya vizuri lakini atambue anatakiwa kutafuta sehemu moja anayofiti, jinsi […]

 

9 years ago

Michuzi

MJUMITA WASHINDA TUZO YA MAZINGIRA YA UN

Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo  wa Umoja wa Mataifa ( UNDP), Helen Clark (kushoto) akiwa na Mcheza  senema  maarufu na mwanaharakati wa Mazingira, Alec Baldwin (katikati)  na Mkewe, Hilaria Thomas wakati wa mkutano maalum na waandishi wa habari wa kutangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa  NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa  mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na  kupiga vita umaskini. 
Tuzo ya mwaka huu wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA BURE YA UIGIZAJI FILAMU NA UIMBAJI: RAFIKI ELIMU MUSIC & FILM ACADEMY

·        Je  wewe  ni  kijana  wa  kitanzania? ·       Una  umri  wa  kuanzia  miaka 15  na  kuendelea ? ·       Una  ndoto za  kuwa  muigizaji filamu  mkubwa  nchini  Tanzania? ·       Una  ndoto  za  kuwa  mwanamuziki ama  muimbaji  mkubwa hapa  Tanzania ? RAFIKIELIMU  MUSIC &FILM  ACADEMY   ni  kituo  kinachotoa  mafunzo  ya  UIGIZAJI  na  UIMBAJI  kwa  vijana wa kitanzania  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  kumi  na  tano na  kuendelea. Wahitimu  wa  mafunzo  haya  hupata  nafasi  ya ...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu waliofika katika Ofisi za Wizara hiyo kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini itakayofanyika tarehe 23 Mei mwaka huu. Kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo.Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za TAFA Bibi. Caroline Gachara Gul (kulia) akiwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini kwa Uongozi wa Wizara ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo (Kulia) akifungua kikao kati ya wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo pamoja na Kamati ya maandalizi ya Tuzo za TAFA jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel.Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu waliofika katika Ofisi za Wizara hiyo kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani