Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Eddie Howe awa meneja bora England

Kocha wa timu ya soka Bournemouth ya England Eddie Howe ametajwa kuwa meneja bora wa mwaka wa shirikisho la mameneja wa soka nchini Uingereza LMA.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Eddie Jones kocha mpya Raga,England

Eddie Jones leo anakuwa kocha mpya timu ya Raga ya Uingereza na kuwa na raia wa kwanza wa kigeni kuifundisha timu hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Julianne More na Eddie Redmayne washinda tuzo za uigizaji bora wa filamu za oscar

Mwigizaji  Julianne Moore ndiye mshindi wa mwaka huu wa waigizaji sinema wa kike na kushinda tuzo ya Oscar kwa kucheza vyema kwenye filamu ya "Still Alice."Usiku wa kuamka leo huko Marekani, Moore amewashinda Felicity Jones ("The Theory of Everyting"), Marion Cotillard ("Two Days, One Night"), Reese Witherspoon ("Wild") na  Rosamund Pike ("Gone Girl) katika kinyang'anyiro hicho.  Awali alipendekezwa mara tano kugombea tuzo hiyo ya juu katika tasnia ya sinema duniani, na ni mmoja wa waigizaji...

 

9 years ago

Bongo5

Samatta awa mfungaji bora, TP Mazembe yachukua ubingwa wa Afrika

Mbwana

Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua kombe la michuano ya mabingwa wa Afrika baada ya kuifunga mabao 2-0 USM Alger ya Algeria kwenye fainali zilizochezwa jana mjini Lubumbashi.

Mbwana
Samatta alifunga bao moja kwenye mechi hiyo na kufikisha mabao saba yaliyomfanya kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo.

Samatta aliyezaliwa Januari 7, 1992 anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu hiyo yenye makazi yake mjini Lubumbashi.

Mchezaji huyo anajulikana kutokana na magoli saba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hazard mchezaji bora wa mwaka England

Baada ya kusubiri kwa misimu miwili hatimae Eden Hazard ameibuka mchezaji bora wa mwaka wa England na kutwaa tuzo ya PFA.

 

5 years ago

Michuzi

Sadallah Lipangile awa mchezaji bora wa mwezi Februari Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania

Mkuu wa Mauzo wa kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania PLC, George Venant (kushoto) akimkabidhi Mchezaji wa timu ya KMC Sadallah Lipangile mfano wa Hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 1/= baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara wakati wa mchezo wa ligi kati ya KMC na Simba uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi, Simba ilishinda mabao 2-0. Katikati ni kiongozi msimamizi wa Vodacom (team leader), Felician Benedict.

 

10 years ago

GPL

MAN UTD YATINGA TATU BORA LIGI KUU ENGLAND

Mshambuliaji wa Manchester United, Van Persie akifunga bao la kwanza dakika ya 12 kipindi cha kwanza dhidi ya Southampton kwenye Uwanja wa St. Marys usiku wa kuamkia leo. Van Persie akiongea na mashabiki baada ya kufunga bao.…

 

10 years ago

GPL

EDEN HAZARD ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA ENGLAND

Eden Hazard akiwa na tuzo yake ya mchezaji bora wa mwaka nchini England. KIUNGO wa Chelsea, Eden Hazard ndiye mchezaji bora wa mwaka nchini England. Hazard mwenye umri wa miaka 24, raia wa Ubelgiji, amefunga jumla ya mabao 18 katika mechi alizoichezea timu yake msimu huu kwenye michuano mbalimbali na kuisaidia Chelsea kutwaa Kombe la Capital One huku ikishika usukani katika msimamo wa Ligi Kuu ya England inayoelekea...

 

10 years ago

Bongo5

Tuzo ya Mwanasoka bora wa England 2015 imeenda kwa wachezaji hawa

Ligi kuu ya England ikiwa inakaribia kuisha, mchezaji wa Club ya Chelsea, Eden Hazard raia wa Ubelgiji ambaye hadi sasa ameifungia timu hiyo mabao 18, amechagulia kuwa mchezaji bora wa mwaka na chama cha wachezaji wa kulipwa England PFA. Na tuzo ya mwanasoka bora chipukizi imechuliwa na mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane aliyefanikiwa kushinda […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani