JB: BORA UIGIZAJI KULIKO UBUNGE
![](http://api.ning.com:80/files/TxtLZ0aSbwzvdEnVwWtNo5tiV-xtuXFnITZkZ1t-nYvBYZxhm*BrScff6h1zZ3Amvzi25zDg8FferoHOEh307TP-AhNp6RJo/JB11.jpg?width=650)
Mkurugenzi wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’. Erick evarist MKURUGENZI wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’ ameweka wazi kuwa kamwe hafikirii kuwa mwanasiasa kwani sanaa inamlipa zaidi.Akizungumza na mwanahabari wetu katika mahojiano mafupi, JB alisema kipindi cha nyuma ziliibuka tetesi kuwa huenda anaweza kuwa mwanasiasa lakini ukweli kutoka moyoni, sanaa inamlipa. “Sanaa inanilipa, sifikirii kama...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/roXUastOvhTyssiLU7*8koHto*MTKwZWSGURlFqjwPhjnDcEOepWyI*UW1NGN-zjcREDZLF-s5z8PqAAXcxTq9rDRs3f-J84/Kingwenduz.jpg)
UBUNGE KUMWACHISHA KINGWENDU UIGIZAJI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-NJV-Jd9ufwc/VOq9Z0RJfNI/AAAAAAAHFUo/MVYthyVEZOc/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
Julianne More na Eddie Redmayne washinda tuzo za uigizaji bora wa filamu za oscar
![](http://1.bp.blogspot.com/-NJV-Jd9ufwc/VOq9Z0RJfNI/AAAAAAAHFUo/MVYthyVEZOc/s1600/unnamed%2B(24).jpg)
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Washindi 3 Bora wa Shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania kwa kanda ya ziwa kupatikana leo
Majaji wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Single Mtambalike (kulia), Yvonne Chery (Katikati) na Roy Sarungi (Kushoto) wakipitia alama za washiriki kwaajili ya kuweza kuwatangaza washindi waliofanikiwa kuingia hatua ya tatu ambapo wanachukuliwa washiriki 30 kwaajili ya kupata mchujo wa washindi watatu bora ambao wataibuka na Kitita Cha Shilingi laki 5 kila Mmoja kwa Kanda ya Ziwa na baadae kujiunga na washindi wengine watatu...
9 years ago
Habarileo29 Sep
Yanga: Mtibwa bora kuliko Simba
YANGA imesema kuwa Mtibwa Sugar ni bora zaidi ya Simba pamoja na ukongwe wa timu hiyo yenye maskani yake katika Barabara ya Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Jumamosi iliyopita, Simba ilipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa watani zao, Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
11 years ago
BBCSwahili18 Feb
Pellegrini: City ni bora kuliko Man U
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nLML9an*avoOUPCgkrKmYkDeSBSQ2PrJg8F5YHD3n7BImVHYNS3AzjGtl7m9-ZRvIbo9fOpj5DhFeRZns9py4XMULlJY5A*B/8.jpg)
BORA USIWE HEWANI KULIKO KUTOPOKEA SIMU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Aaa76ACbkjJaQ7w7BN4VWt80*4j*gFpi7Zw3VpOt05PAlt*CXHb3ptAyrnj8erG1m3Ofv9P5g6bLVuF0iR*fwD01WW239bYr/url.jpg?width=750)
BORA USIWE HEWANI KULIKO KUTOPOKEA SIMU-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hcqb7DAu6uw40AsOMi5Opx-G3M4P5-aPwmRWdGml3JqkJZAD6OdBc9aT2TZlAGgjwvbwgNQYeQM5o6-5h7xjhGa/RisasiJumamosifrontpdf.jpg?width=650)
DIAMOND: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Walcott:sisi bora kuliko kina Henry