Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BORA USIWE HEWANI KULIKO KUTOPOKEA SIMU!

NIJumanne tena! Kweli siku hazigandi kwani mara nimalizapo kuandika safu hii, kufumba na kufumbua siku ya kuandika tena inafika!Baada ya wiki iliyopita kumalizana na mada ya Mke Kumchuna Mume Ipo Sana! Leo nashuka na mada nyingine. Hii ni kwa wapenzi, wachumba au wanandoa. Kila mtu anajua maisha ya sasa kuhusu mawasiliano ni simu za mikononi. Simu hizi zimekuwa mwiba katika baadhi ya uhusiano kutokana na baadhi yao kuzitumia kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BORA USIWE HEWANI KULIKO KUTOPOKEA SIMU-2

NI Jumanne nyingine tena ambapo safu hii ya Mapenzi na Maisha inakupa elimu, inakosoa na kurekebisha namna ya kuishi kwa watu waliopo ndani ya uhusiano. Mada hii inaendelea kutokea wiki iliyopita ambapo niliishia pale niliposema kuwa, nilibaini ugomvi wa kutopokea simu wakati inapatikana hewani unatokana na tabia ya mmiliki wa simu.  Nilisema baadhi ya watu wanajulikana kuwa, hawakai mbali na simu hata kwa dakika mbili, sasa...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke aumizwa kwa kutopokea simu ya mume

MWANAMKE mkazi wa Kata ya Lubaga, Sophia Haji (22) Manispaa ya Shinyanga anadaiwa kupigwa na mumewe na kusababishiwa majeraha makubwa kwa kile kilichodaiwa alichelewa kupokea simu ya mumewe.

 

9 years ago

Bongo5

Tecno C8 sio simu, ni simu bora zaidi

Ikiwa inaendelea kuwajali wateja wake na kutambua umuhimu wa kuwapa kilicho bora zaidi, TECNO inakuletea simu mpya aina ya TECNO CAMON C8. TECNO C8 ni simu iliyotukuka ikiwa na programu mama ya Android 5.0 Lollipop, uwezo wa kuhifadhi vitu wa GB 16, kioo cha HD chenye inch 5.5, lakini haikuishia hapo. TECNO C8 ina flash […]

 

9 years ago

GPL

JB: BORA UIGIZAJI KULIKO UBUNGE

Mkurugenzi wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’. Erick evarist MKURUGENZI wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’ ameweka wazi kuwa kamwe hafikirii kuwa mwanasiasa kwani sanaa inamlipa zaidi.Akizungumza na mwanahabari wetu katika mahojiano mafupi, JB alisema kipindi cha nyuma ziliibuka tetesi kuwa huenda anaweza kuwa mwanasiasa lakini ukweli kutoka moyoni, sanaa inamlipa. “Sanaa inanilipa, sifikirii kama...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pellegrini: City ni bora kuliko Man U

Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini amesema kuwa timu yake ni bora kuiliko Manchester United na kwamba itatamba katika CL.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga: Mtibwa bora kuliko Simba

YANGA imesema kuwa Mtibwa Sugar ni bora zaidi ya Simba pamoja na ukongwe wa timu hiyo yenye maskani yake katika Barabara ya Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Jumamosi iliyopita, Simba ilipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa watani zao, Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA

Musa mateja
KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’. Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bora filamu kuliko habari nchini Congo

Nchini jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo,idadi ya wanao sikiliza na kufuatilia taarifa za habari na kusoma magazeti inapungua.

 

10 years ago

BBCSwahili

Walcott:sisi bora kuliko kina Henry

Winga klabu ya Arsenal Theo Walcott,ameeleza safu yao ushambuliaji ya sasa ni bora Zaidi kuliko ya mwaka 2006.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani