DIAMOND: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA

Musa mateja KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’. Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Apr
ALICHOKISEMA DIAMOND: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’.
Musa matejaKIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini...
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA

KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.

9 years ago
GPL
SHAMSA: BORA NIFE KULIKO KURUDIANA NA MUME WANGU
10 years ago
Bongo Movies19 Mar
Petitman: Bora Ninyang'anywe Mke Kuliko Kuachana na Wema Sepetu
Mfanyakazi wa kampuni ya Endless Fame, Petitman ambaye mara zote ameonekana kuwa karibu sana na bosi wake , Wema Sepetu amesema kamwe hawezi kuacha kuwa karibu na Wema eti kwa sababu Wema na Diamond wameachana, ukizingatia kuwa Pititman na Diamond ni mtu na shemeji yake. (Petitman amemuoa dada yake Diamond, Esma)
Kauli hiyo inaashiria kwamba Petitman yupo tayari kunyang'anywa mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu...
10 years ago
GPL
DIAMOND MWANANGU USISUBIRI NIFE!
10 years ago
GPL
JB: BORA UIGIZAJI KULIKO UBUNGE
10 years ago
GPL
WEMA MREMBO KULIKO ZARI
10 years ago
Habarileo29 Sep
Yanga: Mtibwa bora kuliko Simba
YANGA imesema kuwa Mtibwa Sugar ni bora zaidi ya Simba pamoja na ukongwe wa timu hiyo yenye maskani yake katika Barabara ya Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Jumamosi iliyopita, Simba ilipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa watani zao, Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
11 years ago
BBCSwahili18 Feb
Pellegrini: City ni bora kuliko Man U