Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Audio: Nikki Mbishi alegeza kwenye ngoma mpya ‘Tulia’

Umezoea kumsikia Nikki Mbishi kwenye ngoma ngumu zenye beat za sampling, lakini sasa ameswitch na kulegeza kidogo kwenye ngoma ya mapenzi ‘Tulia’ aliyomshirikisha Lydia. Isikilize hapa.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi awashirikisha Jaydee, Songa na One kwenye ‘Kupanda na Kushuka’

Rapper wa Tamaduni Muzik, Nikki Mbishi anatarajia kuachia wimbo mpya ‘Kupanda na Kushuka’ aliowashirikisha Lady Jaydee, Songa na One the Incredible. Nikki amesema ameamua kuwashirikisha wasanii hao ili kupata kitu tofauti kama muziki unavyohitaji. “Unajua muziki sometimes unahitaji vitu fulani fulani ili uwe mzuri zaidi na hii ni kawaida ya muziki ulivyo. Kwahiyo tukaona tukifanya […]

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi atoa sababu za kubadili uamuzi wa kuacha muziki, kutoa wimbo mpya March 4

Rapper Nikki Mbishi ambaye aliuanza mwaka 2015 kwa kufanya uamuzi uliowashtua mashabiki wengi wa Hip Hop baada ya kutangaza kuacha muziki, ametangaza kuachia ngoma mpya wiki ijayo. Baada ya kuulizwa sababu zilizomfanya abadili uamuzi wake na kuendelea kufanya muziki hizi ndio sababu alizozitoa, “Nimegundua kwamba bado watu wananidai vitu vingi sana ngoja kwanza labda nimalizane […]

 

10 years ago

CloudsFM

Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili

Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na akibidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila...

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Soggy Doggy awakusanya Nature, Inspekta, Suma G kwenye ngoma mpya

Rapper mkongwe na mtangazaji wa redio, Soggy Doggy amesema yupo mbioni kuachia ngoma mpya na wasanii wakongwe wenzie, Juma Nature, Inspekta Haroun, Suma G na Hammer Q. Soggy ameiambia Bongo5 kuwa ngoma hiyo imetayarishwa na Q the Don. “Tangu nimerudi kuishi Dar nimeshaenda studio za Majani sana. Zaidi ya muziki natarajia zaidi kurekodi lakini kuna […]

 

9 years ago

MillardAyo

Dakika tatu za kumsikiliza rapper Black Rhino kwenye ngoma mpya,- ‘Time ya Kumeki Doo’ (+Audio)

Ukitaja list ya mastaa wa rap ambao waliwahi kufanya vizuri TZ toka kipindi ambacho game ya Bongo fleva ilianza kushika, huwezi kuacha jina la Black Rhino. Unaikumbuka ‘Usipime‘ ?!! Au unakumbuka ile michano ya kwenye ‘Chagua Moja‘ ya Fid Q ?!! Basi huyu ndio Black Rhino kwenye ukali wake, kaja na ngoma nyingine ambayo imetambulishwa […]

The post Dakika tatu za kumsikiliza rapper Black Rhino kwenye ngoma mpya,- ‘Time ya Kumeki Doo’ (+Audio) appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Nikki Mbishi — Tembo

Nikki Mbishi ameachia single mpya ‘Tembo’ aliyolenga kukemea mauaji haramu ya wanyama hao nchini. Isikilize.

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi f/ Walter Chilambo — Sihusiki Nao

Ngoma mpya ya Nikki Mbishi aliyomshirikisha Walter Chilambo ‘Sihusiki Nao’. Imetayarishwa na J-Ryder wa Tongwe Records.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mansu li Ft Belle 9 & Nikki Mbishi – Usione Ukadhani

Mansu Li

Wimbo mpya wa rapper Mansu li unaitwa “Usione Ukadhani”, Amewashirikisha Belle 9 na Nikki Mbishi, Studio Classic Sound.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Nikki Mbishi f/ Songa & Bob Marley – Feel Alright

Ngoma ya Nikki Mbishi aliyowashirikisha Songa na Bob Marley. Wimbo umetayarishwa na The Invincible KTB.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani