Nikki Mbishi f/ Walter Chilambo — Sihusiki Nao
Ngoma mpya ya Nikki Mbishi aliyomshirikisha Walter Chilambo ‘Sihusiki Nao’. Imetayarishwa na J-Ryder wa Tongwe Records.
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM05 May
Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili
Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na akibidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila...
10 years ago
Vijimambo13 Apr
MIGESHI feat WALTER CHILAMBO
ARTIST : MIGESHI feat WALTER CHILAMBO
SONG :: MMECHEMKA
PRODUCER ; KITA
STUDIO: 24 RECORDS
11 years ago
GPL30 Mar
9 years ago
Bongo511 Nov
Video: Santana Ft. Walter Chilambo — Nipe
Video mpya ya msanii anaitwa Santana wimbo unaitwa “Nipe” amemshirikisha Walter Chilambo, Video imeongozwa na Kwetu Studio
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Michuzi13 Apr
9 years ago
Bongo528 Oct
Hii ndio sababu inayomkwamisha Walter Chilambo
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
New Music: Joh Harakati feat Walter Chilambo -September 14
Nimefanya Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha yangu niliyopitia mpaka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100% .
September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpaka wote tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa alifariki. Nakupitia Track hii https://mkito.com/song/september-14/16265
10 years ago
Michuzi08 Jun
10 years ago
Bongo524 Sep
New Video: Baraka Ft Niccolazzo & Walter Chilambo – Kibingwa