Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dakika tatu za kumsikiliza rapper Black Rhino kwenye ngoma mpya,- ‘Time ya Kumeki Doo’ (+Audio)

Ukitaja list ya mastaa wa rap ambao waliwahi kufanya vizuri TZ toka kipindi ambacho game ya Bongo fleva ilianza kushika, huwezi kuacha jina la Black Rhino. Unaikumbuka ‘Usipime‘ ?!! Au unakumbuka ile michano ya kwenye ‘Chagua Moja‘ ya Fid Q ?!! Basi huyu ndio Black Rhino kwenye ukali wake, kaja na ngoma nyingine ambayo imetambulishwa […]

The post Dakika tatu za kumsikiliza rapper Black Rhino kwenye ngoma mpya,- ‘Time ya Kumeki Doo’ (+Audio) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Black Rhino Ft HDN & Chibwa Man – Time ya Kumeki Doo

Black Rhino

Rapper ambaye aliwahi kufanya vizuri TZ kipindi cha nyuma ambacho game ya Bongo fleva ilikuwa inaanza kushika, Black Rhino alikuwa mmoja wapo alifanya vizuri na ngoma kama ‘Usipime‘, ‘Chagua Moja‘ ya Fid Q! kaachia ngoma nyingine impya inaitwa “Time ya Kumeki Doo” humu ndani amewashirikisha HDN na Chibwa Man. Studio Free Nation Sound.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Nikki Mbishi alegeza kwenye ngoma mpya ‘Tulia’

Umezoea kumsikia Nikki Mbishi kwenye ngoma ngumu zenye beat za sampling, lakini sasa ameswitch na kulegeza kidogo kwenye ngoma ya mapenzi ‘Tulia’ aliyomshirikisha Lydia. Isikilize hapa.

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Soggy Doggy awakusanya Nature, Inspekta, Suma G kwenye ngoma mpya

Rapper mkongwe na mtangazaji wa redio, Soggy Doggy amesema yupo mbioni kuachia ngoma mpya na wasanii wakongwe wenzie, Juma Nature, Inspekta Haroun, Suma G na Hammer Q. Soggy ameiambia Bongo5 kuwa ngoma hiyo imetayarishwa na Q the Don. “Tangu nimerudi kuishi Dar nimeshaenda studio za Majani sana. Zaidi ya muziki natarajia zaidi kurekodi lakini kuna […]

 

9 years ago

Bongo5

Rapper wa S.A Cassper Nyovest amshirikisha rapper wa U.S.A The Game kwenye album yake mpya, ‘Refiloe’

Rapper wa Afrika Kusini ametoa orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yake mpya ‘Refiloe’ anayotarajia kuitoa hivi karibuni, na miongoni mwa nyimbo 14 zinazoikamilisha album hiyo imo collabo na rapper wa Marekani, The Game. Wimbo namba 14 kwenye album hiyo ya pili ya Cassper uitwao ‘Cooking in da Kitchen’ ndio aliomshirikisha The Game. Cassper ametoa […]

 

9 years ago

Bongo5

Black Rhino asimulia jinsi collabo ya Chagua Moja ya Fid Q, Langa na Adili ilivyowaweka kwenye ushindani wa kutaka kufunikana

Chagua Moja, ya Fid Q aliyowashirikisha Black Rhino, marehemu Langa na Adili ni moja kati ya collabo bora zilizowahi kufanyika kwenye muziki wa Bongo Flava. Black Rhino amekiambia kipindi cha Chill na Sky kuwa wimbo huo ulifanyika katika mazingira yenye ushindani mkubwa. “Kila mtu alikuwa anataka amuonesha mwenzake kwamba, me I am the best, kwahiyo […]

 

10 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee na Davido washirikishwa kwenye ngoma moja ya msanii wa Ghana, D-Black

Juhudi za msanii wa kike wa Tanzania, Vanessa Mdee katika kujitangaza kimataifa zinazidi kuonekana, baada ya kuchukua tuzo ya AFRIMMA nchini Nigeria mwaka jana, sasa amepata nafasi ya kushiriki kwenye wimbo mmoja na staa wa Nigeria, Davido. Vannessa na Davido wameshirikishwa kwenye Remix ya wimbo wa msanii wa Ghana aitwaye D-Black. Wasanii wa nchi nyingine […]

 

11 years ago

CloudsFM

Audio: Ngoma mpya toka kwa Usher ft. Nick Minaj

Ingawa bado ngoma ya "Good Kisser" inaendelea kufanya poa kwenye media mbali mbali, siku ya jana (July 8) Usher amedondosha ngoma nyine mpya amabayo amemshirikisha Rapper Nick Minaj ngoma inakwenda kwa jina la She Came To Give It To You

 

10 years ago

Bongo5

Rapper M.I wa Nigeria awashirikisha wasanii 27 kwenye album mpya

Rapper wa Nigeria M.I anatarajia kuachia album mpya ambayo amewashirikisha jumla ya wasanii 27 kutoka Nigeria, Jamaica na Ghana. M.I ameshare cover ya album hiyo iitwayo ‘Chairman’ kwenye akaunti yake ya Instagram. Wasanii 27 aliowashirikisha ni: Ice Prince, Sarkodie, Sound Sultan, Tuface, Wizkid, Beenie Man, Olamide, Phyno, Reminisce, Patoranking, Seyi Shay, Runtown, Frank Edwards, Storm […]

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND AACHIA AUDIO&VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA IITWAYO NTAMPATA WAPI

Diamond Platinumz wakati akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo Ntapata Wapi leo hii kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.Hapa akichagua barua za wale waliotuma kwa ajili ya watoto wao wanaompenda Diamond na atakayeshinda atatembelewa na msanii huyo nyumbani kwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani