Music: Black Rhino Ft HDN & Chibwa Man – Time ya Kumeki Doo
Rapper ambaye aliwahi kufanya vizuri TZ kipindi cha nyuma ambacho game ya Bongo fleva ilikuwa inaanza kushika, Black Rhino alikuwa mmoja wapo alifanya vizuri na ngoma kama ‘Usipime‘, ‘Chagua Moja‘ ya Fid Q! kaachia ngoma nyingine impya inaitwa “Time ya Kumeki Doo” humu ndani amewashirikisha HDN na Chibwa Man. Studio Free Nation Sound.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Dakika tatu za kumsikiliza rapper Black Rhino kwenye ngoma mpya,- ‘Time ya Kumeki Doo’ (+Audio)
Ukitaja list ya mastaa wa rap ambao waliwahi kufanya vizuri TZ toka kipindi ambacho game ya Bongo fleva ilianza kushika, huwezi kuacha jina la Black Rhino. Unaikumbuka ‘Usipime‘ ?!! Au unakumbuka ile michano ya kwenye ‘Chagua Moja‘ ya Fid Q ?!! Basi huyu ndio Black Rhino kwenye ukali wake, kaja na ngoma nyingine ambayo imetambulishwa […]
The post Dakika tatu za kumsikiliza rapper Black Rhino kwenye ngoma mpya,- ‘Time ya Kumeki Doo’ (+Audio) appeared first on...
10 years ago
Bongo527 Jun
Video: Black Rhino Ft Ishmae & YoungboiVeezo – We Get it on
9 years ago
Bongo527 Oct
Music: Tunda Man & Matonya – Ugomvi
10 years ago
Bongo525 Feb
New Music: Daz Baba Ft Man Chipi & Bella B – Pointa
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/-vrVBdbjbJA/default.jpg)
9 years ago
Bongo530 Nov
Video: Berry Black Ft Alice & Digna – Mtuwaache
![Berry Black](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Berry-Black-300x194.jpg)
Hii ni video mpya ya msanii kutoka Zanzibar Berry Black amewashirikisha Alice & Digna wimbo unaitwa “Mtuwaache”. video imeongozwa na Pablo D360.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo508 Oct
Music: Kid Ink Feat. Chris Brown, French Montana, & Verse Simmonds – ‘Diamonds & Gold (Remix)’
9 years ago
Bongo504 Dec
Music: Banky W & Chidinma – All I Want Is You
![Banky-W-Chidinma-All-I-Want-Is-You-ART2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Banky-W-Chidinma-All-I-Want-Is-You-ART2-300x194.jpg)
Wasanii Banky W na Chidinma kutoka Nigeria wameachia wimbo mpya unaitwa “All I Want Is You”, Kazi imetaarishwa na Producer T.K ambae yumo pia kwenye list ya maproducer 10 wakali Nigeria.
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Banky-W-Chidinma-All-I-Want-Is-You.mp3Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo515 Nov
New Music: Flavour f/ Phyno & M.I – Wiser