Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee Yusuf kumshirikisha Diamond kwenye ngoma mpya

Tangu atoe wimbo wake ‘Nasema Nawe’, Diamond Platnumz anaonekana kukubalika sana kwenye jumuiya ya wanamuziki wa Taarab na Mduara nchini. Baada ya kumshirikisha Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, huenda Diamond akasikika tena kwenye wimbo wa Mzee Yusuf. Akiongea kwenye kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Mzee Yusuf alisema huenda akamshirikisha Diamond kwenye wimbo uitwao […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Dully awakusanya Diamond, Christian Bella na Mzee Yusuf kwenye ngoma zake mbili mpya

Dully

Baada ya kuachia kolabo yake akiwa na vijana wa Yamoto Band, Dully Sykes anatarajia kuachia kolabo zake nyingine mbili ambapo moja akiwa na Diamond na nyingine akiwa na Christian Bella na Mzee Yusuf.

Dully

Akizungumza na kipindi cha Siz Kitaa kinachoruka kupitia Clouds TV, Dully alisema tayari ameshafanya nyimbo nyingi akiwa peke yake na wakati huu ni wa kolabo.

“Mimi nimefanya nyimbo nyingi sana mwenyewe na nyingi zimefanya vizuri. Kwahiyo sasa hivi mimi natoa nyimbo ambazo nimeshirikiana. Baada...

 

9 years ago

Bongo5

Flavour kumshirikisha Diamond kwenye ngoma mpya

Mafanikio ya Nana aliyoshirikishwa na Diamond Platnumz yamemfanya msanii wa Nigeria, Flavour naye kumshirikisha staa huyo wa Tanzania. Tangu itoke miezi minne iliyopita video ya Nana imefikisha zaidi ya views milioni 4.7 kwenye Youtube na tayari inawania tuzo kadhaa za kimataifa. Flavour aliiambia website ya DSTV kuwa wimbo aliomshirikisha Diamond utatoka siku za usoni. Flavour […]

 

11 years ago

TheCitizen

Diamond is No. 1, ‘seconded’ by Mzee Yusuf

We start with taking a look at the way scribblers misdirect themselves by using inappropriate or even wrong words. It exposes our limitedness in vocabulary.

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond na Mzee Yusuf kuumana Dar Live

 Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu, Mzee Yusuf watapanda jukwaa moja katika ‘Tamasha Wafalme’ litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF: TUTAFANYA MAAJABU DAR LIVE

WAKALI wa muziki nchini Diamond Platnumz na Mzee Yusuf wameahidi kufanya shoo ya nguvu katika Sikukuu ya Krismasi kwenye Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live katika Tamasha la Wafalme.

 

10 years ago

GPL

MZEE YUSUF KUACHIA MPYA DAR LIVE

Mfalme wa muziki wa taarab Mzee Yusuf. MFALME Mzee Yusuf amerudi tena ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar ambapo Aprili 25, mwaka huu anatarajia kuachia ngoma mpya. Akizungumza na Over The Weekend, Mzee Yusuf anayebamba kunako miondoko ya Taarab alisema kuwa anawashukuru mashabiki kwa kuweza kumudu kwenye muziki kwa muda mrefu na zawadi kubwa atakayoitoa siku hiyo ni wimbo mpya uitwao...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND NA MZEE YUSUF KUWASHA MOTO DAR LIVE KRISMAS‏

 Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo. Diamond akiwachombeza mashabiki.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani