Flavour kumshirikisha Diamond kwenye ngoma mpya
Mafanikio ya Nana aliyoshirikishwa na Diamond Platnumz yamemfanya msanii wa Nigeria, Flavour naye kumshirikisha staa huyo wa Tanzania. Tangu itoke miezi minne iliyopita video ya Nana imefikisha zaidi ya views milioni 4.7 kwenye Youtube na tayari inawania tuzo kadhaa za kimataifa. Flavour aliiambia website ya DSTV kuwa wimbo aliomshirikisha Diamond utatoka siku za usoni. Flavour […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo520 Apr
Mzee Yusuf kumshirikisha Diamond kwenye ngoma mpya
9 years ago
Bongo514 Dec
Dully awakusanya Diamond, Christian Bella na Mzee Yusuf kwenye ngoma zake mbili mpya

Baada ya kuachia kolabo yake akiwa na vijana wa Yamoto Band, Dully Sykes anatarajia kuachia kolabo zake nyingine mbili ambapo moja akiwa na Diamond na nyingine akiwa na Christian Bella na Mzee Yusuf.
Akizungumza na kipindi cha Siz Kitaa kinachoruka kupitia Clouds TV, Dully alisema tayari ameshafanya nyimbo nyingi akiwa peke yake na wakati huu ni wa kolabo.
“Mimi nimefanya nyimbo nyingi sana mwenyewe na nyingi zimefanya vizuri. Kwahiyo sasa hivi mimi natoa nyimbo ambazo nimeshirikiana. Baada...
10 years ago
GPL30 May
10 years ago
Bongo515 Sep
Sauti Sol waonesha mpango wa kutaka kumshirikisha John Legend kwenye remix ya wimbo wao mpya ‘Isabella ’
10 years ago
Bongo521 Oct
Diamond kuungana na Tamar Braxton, Maxwell, Flavour na wengine kwenye BET Experience Africa, Dec 12
9 years ago
Bongo527 Nov
Mary J. Blige aungana na Diamond, Young Thug, AKA, Flavour na wengine kwenye tamasha la ‘BET Experience Africa’

Orodha ya wasanii wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye tamasha la la BET Experience Africa linalotarajiwa kufanyika December 12, 2015 jijini Johannesburg, Afrika Kusini inazidi kuongezeka.
Muimbaji mkongwe wa Rnb na mshindi wa tuzo ya Grammy, Mary J Blige kutoka Marekani metangazwa kuungana na wasanii wengine waliokuwa wameishatajwa akiwemo staa wetu Diamond Platnumz.
Miongoni mwa hit songs za Mary J. Blige ni pamoja na ‘Family Affair’, ‘No More Drama’ pamoja na ‘Be Without You’.
Wasanii...
11 years ago
CloudsFM25 Jun
LULU AKANA KUSHIRIKISHWA NA MAPACHA KWENYE NGOMA YAO MPYA
Ngoma ya wasanii Mapacha waliyoiachia juzi ndani ya xxl,iitwayo ‘it for the money’ ambayo wamemshirikisha staa wa filamu za Kibongo,Elizabeth Michael’lulu’ imeleta utata baada ya msanii huyo wa Bongo Movie kukanusha kushirikishwa kwenye ngoma hiyo.
Kupitia mtandao wa Instagram Lulu aliandika hivi baada ya ngoma hiyo kutambulishwa.,, I swear sina idea na Huku kushirikishwa....au kuna Elizabeth Michael'Lulu' mwingine!????Dah...hebu mliosikia hiyo nyimbo labda mniambie maana nashirikishwa...
10 years ago
Bongo510 Dec
Audio: Nikki Mbishi alegeza kwenye ngoma mpya ‘Tulia’