RC akerwa na uchafu Hospitali ya mkoa
MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego ameuagiza uongozi wa Hospitali ya Mkoa ya Ligula kuhakikisha inafuata miongozo na kanuni za usafi katika hospitali hiyo ambayo kwa sasa imekithiri kwa uchafu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo04 Dec
RC akerwa na uchafu Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mwantumu Mahiza amesema haridhishwi na kiwango cha usafi wa mazingira katika mitaa ya jiji la Tanga licha ya halmashauri hiyo kupongezwa kwa kushika nafasi ya pili kwa usafi hapa nchini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tBTKCkFUMvMbrsn9BDflR1lDtJO0h5ZyzzLgjtTnWYOhvSyEU8hOSkeyxfTYMq7DSwSHtF7*y0Y57dHthQhHxPq0gdf5FXXY/LULU.jpg)
MCHUNGAJI AKERWA NA UCHAFU WA ANTI LULU
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-jpFC0iTzfdY/VmaqRu5fqaI/AAAAAAAIK38/NVjl0Rox_gI/s72-c/e5cf66ab-3923-4961-bdaa-b48b06852339.jpg)
UVCCM MKOA WA KIGOMA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA MKOA NA KUWAFARIJI WAGONJWA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-jpFC0iTzfdY/VmaqRu5fqaI/AAAAAAAIK38/NVjl0Rox_gI/s640/e5cf66ab-3923-4961-bdaa-b48b06852339.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mvc-3icAZAk/VmarEN-5pkI/AAAAAAAIK4E/OvJG2qAwGHo/s640/a883893d-f55e-4a03-b71f-85723bcaa691.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-UO1N4D63ppk/VmaqPpfLtKI/AAAAAAAIK3o/aaKuloGMKWQ/s640/2e3c668c-4df6-44b4-9438-fb519fb89b79.jpg)
Mbunge wa viti maalum kupitia umoja wa vijana Zainabu Katibu akiwafariji watoto waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma
Na Editha Karlo wa blog ya jamii, KigomaUmoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma(UVCCM) wamefanya usafi katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma (Maweni) sambamba na kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika wodi mbalimbali hospitalini hapo.
Akiongea na waandishi wa habari...
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MABULA AKERWA MSHAURI ELEKEZI KUKWAMISHA MRADI HOSPITALI YA RUFAA MARA
Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na hatua ya kusimamisha ujenzi wa miundombinu kwenye mradi wa kimkakati wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyopo eneo la Kwangwa Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara uliofanywa na Mshauri Elekezi wa mradi huo Kampuni ya ARU Environment Consulting Company Ltd (ABECC) .
Hatua hiyo inafuatia Dkt Mabula kuelezwa na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mkoa wa Mara Goodluck...
11 years ago
Habarileo22 Jun
Wezi wa dawa hospitali ya mkoa watimuliwa
UONGOZI wa Hospitali ya Mkoa wa Rukwa, umewachukulia hatua za kinidhamu baadhi ya wataalamu wa afya wasio waaminifu na waadilifu wanaotuhumiwa kujihusisha na hujuma za wizi wa dawa katika hospitali ya mkoa, mjini hapa.
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Majaliwa atembelea hospitali ya mkoa wa Ruvuma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Bibi. Antonia Moyo ambaye alikuwa akipata matibabu katika chumba maalum cha wazee katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakati alipoitembelea hositali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Thabiti Mwabungu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia mtoto Flora Mapunda (1) ambaye amelazwa katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ambayo Waziri Mkuu aliitembelea na kuzungumza na...
9 years ago
Habarileo06 Sep
Ukosefu wa fedha waathiri Hospitali ya Mkoa Dodoma
HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma inakabiliwa na changamoto kubwa ya kifedha, hali iliyosababisha kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa baadhi ya miundombinu hospitalini hapo yakiwemo majengo.
11 years ago
Habarileo08 Jul
Hospitali ya mkoa ina daktari bingwa mmoja
HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Kagera inakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa saba, hali inayotajwa kuchangia huduma kusuasua hivyo kuongezeka kwa malalamiko kutoka kwa wagonjwa.