Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wezi wa dawa hospitali ya mkoa watimuliwa

UONGOZI wa Hospitali ya Mkoa wa Rukwa, umewachukulia hatua za kinidhamu baadhi ya wataalamu wa afya wasio waaminifu na waadilifu wanaotuhumiwa kujihusisha na hujuma za wizi wa dawa katika hospitali ya mkoa, mjini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mkoa wa Dodoma kuzindua mradi wa kukabiliana na upungufu wa dawa katika hospitali na zahanati kesho

medicines-and-drugs-rvg2jieu

Na Mwandishi wa MAELEZO, Dodoma

Mkoa wa Dodoma unatarajia kuzindua  Mradi wa Kuboresha na kuimarisha mfumo wa uuzaji na usambazaji wa dawa katika wilaya zote.

Hatua hiyo inalenga  kuboresha na Kuimarisha Mfumo wa Afya ili kukabiliana na upungufu wa huduma za dawa katika Hospitali ,Vituo vya Afya na Zahanati katika Mkoa wote wa Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo mjini Dodoma chini ya Mradi wa Tuimarishe Afya wa Uswis na Tanzania , duka mmoja la  dawa...

 

5 years ago

Michuzi

DUKA LA DAWA HOSPITALI YA BAGAMOYO LASAIDIA UPATIKANAJI WA DAWA KIRAHISI

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniDUKA la dawa linalomilikiwa na hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, linasaidia upatikanaji dawa kirahisi kwa wagonjwa wanaofika kwa ajili ya huduma ya tiba,ambapo lilipata mkopo wa dawa za sh.milioni 50 kutoka MSD, na kufanikiwa kupata sh. milioni 36.
Duka hilo lililoanzishwa kwa mtaji wa sh.milioni 4, walianza kununua dawa muhimu na za lazima kwa wateja wa Bima.
Hayo yalielezwa na Mganga Mkuu wa wilaya (DMO) Dk. Aziz Msuya mbele ya viongozi wa halmashauri ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Bilali awashukia wezi wa dawa

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal ameiagiza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikana na Polisi kufanya msako endelevu ili kuwabaini wezi wa dawa za serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dawa ya wezi wa pembejeo yaja

HATIMAYE dawa ya kukomesha mawakala wabadhirifu wa pembejeo za kilimo nchini imekamilika kwa kutungwa sheria ya pembejeo nchini. Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Usambazaji wa Pembejeo za Kilimo kutoka Wizara...

 

10 years ago

Habarileo

Nchemba ampa rungu DC kuwakamata wezi wa dawa

Mwigulu NchembaNAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Morogoro kufanyia uchunguzi suala la upungufu wa dawa hospitalini kubaini wanaohusika na uchotaji wachukuliwe hatua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Anusurika kifo kwa kunywa dawa ya kukamata wezi

MKAZI wa Bunda mkoani Mara, Pendo Kona amepoteza fahamu na kulazwa katika Hospitali ya DDH-Bunda, baada ya kunyweshwa dawa za kienyeji na waganga ili awabaini waliomwibia ng’ombe wake wawili Januari...

 

9 years ago

Michuzi

UVCCM MKOA WA KIGOMA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA MKOA NA KUWAFARIJI WAGONJWA.

 Baadhi ya wanachama wa UVCCM Mkoa wa Kigoma wakifanya usafi katika hospital ya mkoa wa kigoma.

Mbunge wa viti maalum kupitia umoja wa vijana Zainabu Katibu akiwafariji watoto waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma

Na Editha Karlo wa blog ya jamii, KigomaUmoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma(UVCCM) wamefanya usafi katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma (Maweni) sambamba na kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika wodi mbalimbali hospitalini hapo.
Akiongea na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Mwananchi

Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”

Kuna usemi wa wahenga usemao “mchawi mpe mwana alee”. Usemi huu una maana kwamba ili umbane na mtu unayehisi ni adui yako, kuwa naye karibu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani