Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkoa wa Dodoma kuzindua mradi wa kukabiliana na upungufu wa dawa katika hospitali na zahanati kesho

medicines-and-drugs-rvg2jieu

Na Mwandishi wa MAELEZO, Dodoma

Mkoa wa Dodoma unatarajia kuzindua  Mradi wa Kuboresha na kuimarisha mfumo wa uuzaji na usambazaji wa dawa katika wilaya zote.

Hatua hiyo inalenga  kuboresha na Kuimarisha Mfumo wa Afya ili kukabiliana na upungufu wa huduma za dawa katika Hospitali ,Vituo vya Afya na Zahanati katika Mkoa wote wa Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo mjini Dodoma chini ya Mradi wa Tuimarishe Afya wa Uswis na Tanzania , duka mmoja la  dawa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TEKNOLOJIA INAVYOSAIDIA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA WATENDAJI KATIKA SEKTA YA AFYA, MAPAMBANO DHIDI YA CORONA


Hospitali na vituo vya afya vinapambana kuongeza nguvu kazi katika sekta ya afya katika kukabiliana na janga la corona.


 Hitaji la watoa huduma za afya limekuwa kubwa kufuatia idadi kubwa ya waathirika wa virusi vya corona kwenye hospitali na vituo vya afya. Mchango wa kila mmoja katika sekta ya afya unahitajika katika kuhakikisha nchi inapita salama katika kipindi hiki kigumu.
 Baadhi ya nchi zimekwenda mbali kwa kuwarudisha madaktari wastaafu na hata kuwatumia walikuwa katika mwaka wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA ZAHANATI YA MKONZE

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi mwishoni mwa wiki (Julai 3) alifanya ziara ya kutembelea zahanati ya kijiji cha Mkonze Manispaa ya Dodoma kukagua kazi ya ukarabati wa Jengo la Zahanati ya kijiji hiko lililokuwa limetokewa na nyufa kwenye baadhi ya kuta na kusababisha jengo hilo mali ya serikali lisitumike kutoa huduma kwa wananchi kwa sababu za kiusalama.  Kwa sasa jEngo hilo linaendelea kufanyiwa ukarabati ikiwa ni kulijengea nguzo za zege kwenye kuta ili kuliongezea uimara na...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN wazindua mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi, Chamwino Dodoma

ALVARO KUPANDA MTI-2

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akipanda mti kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya...

 

11 years ago

Michuzi

MKOA WA DODOMA WASHEREHEKEA KUANZA KWA UJENZI WA MRADI WA BARABARA YA DODOMA (MAYAMAYA) - BABATI (BONGA)

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (Katikati mwenye kilemba) na ujumbe alioambatana nao wakipatiwa maelezo ya mradi wa barabara kutoka Mayamaya Dodoma hadi Bonga Babati kutoka kwa wakandarasi wa Kampuni inayojenga barabara hiyo ya China Railway Seventh Group wakati alipotembelea kambi ya kampuni hiyo  iliyopo kijiji cha Kolo Wilayani Kondoa  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) na ujumbe alioambatana nao wakikagua magari yanayotumika kwenye ujenzi wa barabara...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkoa wa Dodoma washerehekea kuanza kwa ujenzi wa mradi wa Barabara ya Dodoma (Mayamaya) — Babati (Bonga)

1

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchmbi (wa nne kutoka kushoto) akiwaongoza wadau waliofika kuadhimisha sherehe za kuanza kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya kutoka Mayamaya Dodoma hadi Bonga Babati kwa kiwango cha lami kuomba Dua ili mradi huo ukamilike kwa wakati bila kukwamishwa na changamoto mbalimbali. Sherehe hizo zilifanyika mapema Julai Mosi, 2014 kijijini Kolo Wilayani Kondoa.

2

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) na ujumbe alioambatana nao wakikagua magari...

 

5 years ago

Michuzi

ZIARA YA KAMISHNA WA THBUB KATIKA HOSPITALI MKOA WA DODOMA,KITUO CHA KUTUNZA WATOTO NA WAZEE CHA HOME OF JOY AND LOVE

Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Dkt. Fatma Rashid Khalfani (kushoto) akikabidhi zawadi ya Keki kwa Mkurugenzi wa Wauguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Stanley Mahundo (kulia) ikiwa ni ishara ya kuwapongeza Wauguzi kwa kazi nzuri wanayoifanya. Pamoja na keki hiyo, Dkt. Fatma alikabidhi pia sabuni kwa ajili ya Wauguzi hao kuzitumia kunawia mikono kwa ajili ya kujikinga na Korona.Mkuu  wa Kituo cha kutunza Watoto na Wazee cha Home of Joy and Love ...

 

11 years ago

Habarileo

Wezi wa dawa hospitali ya mkoa watimuliwa

UONGOZI wa Hospitali ya Mkoa wa Rukwa, umewachukulia hatua za kinidhamu baadhi ya wataalamu wa afya wasio waaminifu na waadilifu wanaotuhumiwa kujihusisha na hujuma za wizi wa dawa katika hospitali ya mkoa, mjini hapa.

 

9 years ago

Habarileo

Ukosefu wa fedha waathiri Hospitali ya Mkoa Dodoma

HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma inakabiliwa na changamoto kubwa ya kifedha, hali iliyosababisha kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa baadhi ya miundombinu hospitalini hapo yakiwemo majengo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani