Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majaliwa atembelea hospitali ya mkoa wa Ruvuma

IMGS7972

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Bibi. Antonia Moyo ambaye alikuwa akipata matibabu katika chumba maalum cha wazee katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakati alipoitembelea hositali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Thabiti Mwabungu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS7974

IMGS7933

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia mtoto Flora Mapunda (1) ambaye amelazwa katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ambayo Waziri Mkuu aliitembelea na kuzungumza na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA RUVUMA.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika kuwahudumia wagonjwa wao waliolazwa kwenye hospitali ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 5, 2016.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Thabiti Mwabungu na kulia ni Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabiti  Mwambungu. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,akimsalimia mtoto Flora Mapunda (1) ambaye amelazwa katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ambayo  Waziri...

 

9 years ago

Habarileo

Majaliwa kutikisa mkoa wa Ruvuma

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo ataanza ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma, kuhimiza na kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa, Said Mwambungu alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Songea jana.

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa ahitimisha ziara yake mkoani Ruvuma na kuagana na viongozi wa mkoa huo

IMGS8156

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana viongozi wa mkoa wa Ruvuma baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani huo Januari 6, 2016.  Kulia kwake ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS8203

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana viongozi wa mkoa wa Ruvuma baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani huo Januari 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

9 years ago

StarTV

Waziri Mkuu aipiga marufuku Hospitali ya Mkoa Ruvuma kutoaji  Mimba

Waziri Mkuu Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa amepiga marufuku utoaji wa mimba katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kufanya kazi ya utoaji Mimba atafukuzwa kazi mara moja.

Amesema hayo wakati akizungumza na watumishi, wauguzi na Madaktari wa Mkoa wa Ruvuma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kasimu Majaliwa mara baada ya kufanya ukaguzi katika hospitari ya mkoa wa Ruvuma  amesema ana taarifa  ya madakitar baadhi kuhusika na...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA

Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  (wa tatu kulia) wakati alipokagua hospitali ya wilaya ya kibaha iliyopo eneo la Lulanzi  ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahuduma kwa wagonjwa wa Coroma, Machi 28, 2020.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo  na wa pili kushoto ni  Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Bakari.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA


Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  (wa tatu kulia) wakati alipokagua hospitali ya wilaya ya kibaha iliyopo eneo la Lulanzi  ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahuduma kwa wagonjwa wa Coroma, Machi 28, 2020.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo  na wa pili kushoto ni  Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Bakari.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua wodi za...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amefanya ziara katika hospitali ya Rufaa ya mkoa Simiyu ili kujionea hali ya utoaji huduma katika hospitali hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

SITTI MTEMVU ATEMBELEA KITUO CHA WENYE ULEMAVU WA NGOZI AN HOSPITALI YA MKOA ILALA.

Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa tatu kulia) akimkabidhi vifaa vya kuhifadhia taka Mbunge wa Jimbo la Ilala  Mhe.  Mussa Azzan Zungu (kushoto), kwa ajili ya Hospitali ya Mkoa wa Ilala Dar es Salam.  kuanzia kushoto  nyuma ya mbunge ni Diwani wa kata ya Kinyerezi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Leah Mgitu katikati ni mama mzazi wa Sitt Mariam Mtemvu, wa kwanza kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi  Edson Fungo na anae fatia ni  Daktari...

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATEMBELEA KITUO CHA WENYE ULEMAVU WA NGOZI HOSPITALI YA MKOA ILALA

Mbunge wa Jimbo la Ilala  Mhe Mussa Azzan Zungu akiongea na Waandishi wa Habari ( pichani hawapo)  mara baada ya kupokea  vifaa mbalimbali  vya kuhifadhia taka na Sabuni. Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa tatu kulia) akimkabidhi vifaa vya kuhifadhia taka Mbunge wa Jimbo la Ilala  Mhe.  Mussa Azzan… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani