Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amefanya ziara katika hospitali ya Rufaa ya mkoa Simiyu ili kujionea hali ya utoaji huduma katika hospitali hiyo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS KATIKA ZIARA YA MKOA WA SIMIYU

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo Jipya la Stendi mpya ya Kisasa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu wakati akiwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo.Machi 7, 2020. Wa pili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka.








Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu Hospitali Mpya ya Mkoa wa Simiyu kuhusu Vifaa Vipya vilivyofungwa kwenye Hospitali hiyo iliyopo Wilayani Bariadi, alipotembelea hospitali hiyo kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA NURU FM 93.5 IRINGA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA IRINGA KUMUUNGA MKONO RAIS DKT.MAGUFULI

Fredy mgunda ambaye ni chief repoter wa radio nuru fm.shauri mkwawa a.k.a mama la mama na wafanyakazi wenzake wakifanya usafi.Wakizungumza wakati wakiwa wanafanya usafi katika eneo hilo wamesema kuwa wameamua kufanya usafi katika hospital hiyo kwa kuwa ndio hospitali inayohudumia wananchi wengi kuliko hospitali nyingine zilizopo mkoani hapa.Denis nyali ni mhariri wa habari wa radio hiyo amesema kuwa wameamua kufanya usafi kwa lengo la kuwaonyesha wananchi na wafanyakazi wa hospital hiyo kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais atembelea shule ya Sekondari Lumala,Wilayani Ilemela Mkoa wa Mwanza

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Angelina Madete (kulia) akipata taarifa kutoka kwa mkuu wa shule ya Sekondari Lumala iliyoko Wilayani Ilemela katika Mkoa wa Mwanza Bw. Christopha kuhusu mradi wa miche iliyopandwa katika shule hiyo.kwenye ziara ya wiki ya Mazingira Duniani. Baadhi ya walimu wa shule ya Sekondari Lumala wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na Naibu Katibu Mkuu (hayupo pichani)kuhusu masuala ya utunzaji Mazingira na upandaji miti. Naibu Katibu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kigwangwalla atembelea ujenzi wa hospitali ya rufaa kanda ya kusini

01

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt. Shaibu Maarifa (katikati) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) alipotembelea eneo la Mikindani inapojengwa hospitali ya mpya ya kanda ya kusini, mkoani Mtwara.

02

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akimuuliza swali Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara Dkt. Shaibu...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli : Nitajenga hospitali za rufaa kila mkoa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Magufuli ameahidi kujenga hospitali za rufaa kila mkoa iwapo atachaguliwa kuingia Ikulu mwaka huu.

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA MKOA MALIMA: HOSPITALI YA RUFAA MARA MBIONI

  NI simulizi inayochukua miaka 40 na kadhaa, leo hii kunatekelezwa wazo la Rais wa Kwanza, Mwalimu Julius Nyerere, kujengwa Hospitali ya Rufaa Mkoani Mara, katika kitongoji cha Kwangwa ndani ya Manispaa ya Musoma.

Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, anasema ni uamuzi uliorejeshwa tena katika utekekezaji kupitia mikakati ya kufufua mipango mbalimbali ya Mwalimu Nyerere.

Ni mradi unaoatarajiwa kunufaisha wakazi kutoka wilaya za Butiama, Rorya, Tarime, Musoma Mjini, Musoma Vijijini na Serengeti, pia...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA MARA




Jengo la hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara lililopo eneo la Kwangwa Musoma likiwa katika hatua za ukamilishaji. (PICHA NA MUNIR SHEMWETA WIZARA YA ARDHI).

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Mkoa wa Mara Injia Kazoba Wilson (kushoto) wakati akitoka kukagua maendelezo ya ujenzi wa hospitali hiyo jana Musoma mkoani Mara. Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt Vincent Naano Anney.

 

5 years ago

Michuzi

VIFO VYA WAJAWAZITO KIPINDI CHA KUJIFUNGUA VYAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA TEMEKE



 Waziri Ummy Mwalimu akiwajulia hali akina mama wajawazito waliolazwa kwenye wodi ya wazazi ambapo vifo vitokanavyo na uzazi hosputalini hapo vimepungua.Waziri wa Afya, Maendeleo, Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikagua miundombinu ya hospitali ya rufaa ya mkoa Temeke ,Waziri Ummy amempongeza Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo.Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wafurahishwa na huduma za matibabu ya madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wameelezea kufurahishwa kwao na huduma za matibabu zinazotolewa na madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
Wakizungumza na mwandishi wetu aliyetembelea katika hospitali hiyo, mmoja wa wazee waliopata huduma ya matibabu ya ugonjwa wa moyo Bi. Salu Shinge amesema amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya moyo kwa muda mrefu lakini baada ya kuonana na Daktari bingwa siku ya Jumatatu na kuanza kutumia dawa, hali yake imbadilika na kwamba anajisikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani