Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA MALIMA: HOSPITALI YA RUFAA MARA MBIONI

  NI simulizi inayochukua miaka 40 na kadhaa, leo hii kunatekelezwa wazo la Rais wa Kwanza, Mwalimu Julius Nyerere, kujengwa Hospitali ya Rufaa Mkoani Mara, katika kitongoji cha Kwangwa ndani ya Manispaa ya Musoma.

Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, anasema ni uamuzi uliorejeshwa tena katika utekekezaji kupitia mikakati ya kufufua mipango mbalimbali ya Mwalimu Nyerere.

Ni mradi unaoatarajiwa kunufaisha wakazi kutoka wilaya za Butiama, Rorya, Tarime, Musoma Mjini, Musoma Vijijini na Serengeti, pia...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA MARA




Jengo la hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara lililopo eneo la Kwangwa Musoma likiwa katika hatua za ukamilishaji. (PICHA NA MUNIR SHEMWETA WIZARA YA ARDHI).

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Mkoa wa Mara Injia Kazoba Wilson (kushoto) wakati akitoka kukagua maendelezo ya ujenzi wa hospitali hiyo jana Musoma mkoani Mara. Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt Vincent Naano Anney.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli : Nitajenga hospitali za rufaa kila mkoa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Magufuli ameahidi kujenga hospitali za rufaa kila mkoa iwapo atachaguliwa kuingia Ikulu mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA AKERWA MSHAURI ELEKEZI KUKWAMISHA MRADI HOSPITALI YA RUFAA MARA


Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na hatua ya kusimamisha ujenzi wa miundombinu kwenye mradi wa kimkakati wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyopo eneo la Kwangwa Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara uliofanywa na Mshauri Elekezi wa mradi huo Kampuni ya ARU Environment Consulting Company Ltd (ABECC) .

Hatua hiyo inafuatia Dkt Mabula kuelezwa na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mkoa wa Mara Goodluck...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amefanya ziara katika hospitali ya Rufaa ya mkoa Simiyu ili kujionea hali ya utoaji huduma katika hospitali hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

VIFO VYA WAJAWAZITO KIPINDI CHA KUJIFUNGUA VYAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA TEMEKE



 Waziri Ummy Mwalimu akiwajulia hali akina mama wajawazito waliolazwa kwenye wodi ya wazazi ambapo vifo vitokanavyo na uzazi hosputalini hapo vimepungua.Waziri wa Afya, Maendeleo, Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikagua miundombinu ya hospitali ya rufaa ya mkoa Temeke ,Waziri Ummy amempongeza Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo.Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wafurahishwa na huduma za matibabu ya madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wameelezea kufurahishwa kwao na huduma za matibabu zinazotolewa na madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
Wakizungumza na mwandishi wetu aliyetembelea katika hospitali hiyo, mmoja wa wazee waliopata huduma ya matibabu ya ugonjwa wa moyo Bi. Salu Shinge amesema amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya moyo kwa muda mrefu lakini baada ya kuonana na Daktari bingwa siku ya Jumatatu na kuanza kutumia dawa, hali yake imbadilika na kwamba anajisikia...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MOSHI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akitoka kitengo cha Macho akiongozana na Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Giliard Masenga. Mganga mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Dkt Timoth Wonanji akichangia jambo wakati wa kikao cha mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga (kulia) alipokutana na viongozi wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC.
Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga (kulia) akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayotajwa kuwa changamoto kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii na Serengeti watoa msaada wa milioni 3 kwa hospitali ya mkoa wa Mara

Wasanii wa muziki wakishirikiana na kampuni ya bia ya Serengeti leo wametoa msaada wa shilingi milioni tatu kwa hospitali ya Mkoa wa Mara kwaajili ya kununulia madawa na vifaa vingine vitakavyosaidia matibabu ya majeruhi wa ajali ya mabasi iliyotokea Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 35. Shilole akimsalimia mgonjwa Akizungumza katika hospitali […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani