Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu: Nadhani sihitaji simu ya mkononi

Mwigizaji anayefanya vizuri sokoni kwa sasa,Elizabeth Michael maarufu Lulu, amesema kuwa hatamani tena kutumia simu ya mkononi kwani amekuwa akisumbuliwa na watu wasiokuwa na mambo ya msingi ya kumweleza wanaompigia simu mara kwa mara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam leo. Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8

 Meneja  Mkazi wa kampuni  ya Simu za mkononi,  Peter  Zhang akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu  uzinduzi wa simu mpya ya kisasa ya Huawei P8 katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence  leo Jiji Dar es Salaam. Mkurungenzi wa Masoko  wa Huawei Tanzania Mamson Mjwala  akizungumza juu ya ubora wa betri ya simu hiyo aina ya Huawei P8 kwamba mfumo wa simu imezingatia matumizi ya muda mrefu mtumiaji anaweza kutumia simu kwa  siku nzima bila kuiongezea umeme huku kwa wale watumiaji...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ijue vizuri simu yako ya mkononi

Asilimia kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi nchini na duniani kwa ujumla wanatumia simu zenye Android. Mfano mzuri wa simu hizi ni Huawei Y360 zinazouzwa kwa ushirikiano wa Tigo na Huawei. Lakini je ni wangapi kati yetu tunajua vyema kutumia simu hizi? Nimekukusanyia njia kadhaa za kukusaidia, nikitumia Huawei Y360 kama mfano.

Angalizo; Nimechagua simu hii kama mfano kwa sababu ni simu mpya, inayouzwa bei rahisi ya 160,000 pekee na hivyo naamini idadi kubwa ya Watanzania watakua...

 

10 years ago

Mwananchi

Baki salama utumiapo simu ya mkononi- 2

Makala haya ni mwendelezo wa makala niliyoianza wiki iliyopita kuhusu namna tunavyoweza kujiweka salama na matumizi ya simu za mkononi dhidi ya uhalifu wa kimtandao.

 

9 years ago

Mwananchi

Simu za mkononi sasa ni zaidi ya mawasiliano

Uzoefu unaonyesha teknolojia ya simu za mkononi bado haijawawezesha Watanzania wengi kuzitumia katika masuala ya kimaendeleo hasa katika kurahisisha maisha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Umuhimu wa simu za mkononi na changamoto zake

KUTOKANA na kuwepo kwa vitendo vya uhalifu kupitia mitandao, wananchi wanapaswa kutoteleza masuala mbalimbali kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (sms) kabla ya kuzungumza na mhusika,” anasema Naibu Mkurugenzi, Masuala ya...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali- Simu za mkononi zina madhara

SERIKALI imewataka Watanzania kununua simu zenye viwango kwa kuwa utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali za afya duniani, umebaini kuwa mtumiaji akizungumza kwa simu kwa muda mrefu, anapata madhara.

 

11 years ago

Mwananchi

Simu za mkononi sasa kuwafikia wanavijiji

 Jumla ya Kata 86 zenye vijiji 511 na wakazi wapatao 600,000 nchini wanatarajiwa kupata huduma za mawasiliano ya simu za mkononi hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu baada ya jana Serikali kuwekeana mkataba na kampuni tano za huduma za simu za mkononi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Simu ya mkononi kumaliza Ebola Guinea

Programu ya simu ya Mkononi yenye kutoa taarifa kuhusu maeneo yaliyoathiriwa na Ebola imeanzishwa nchini Guinea

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani