Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ijue vizuri simu yako ya mkononi

Asilimia kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi nchini na duniani kwa ujumla wanatumia simu zenye Android. Mfano mzuri wa simu hizi ni Huawei Y360 zinazouzwa kwa ushirikiano wa Tigo na Huawei. Lakini je ni wangapi kati yetu tunajua vyema kutumia simu hizi? Nimekukusanyia njia kadhaa za kukusaidia, nikitumia Huawei Y360 kama mfano.

Angalizo; Nimechagua simu hii kama mfano kwa sababu ni simu mpya, inayouzwa bei rahisi ya 160,000 pekee na hivyo naamini idadi kubwa ya Watanzania watakua...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAGAZETI, MAJARIDA NA VITABU VYOTE KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI.


Je umekwishawahi kukwama kwenye foleni ukajutia kutobeba gazeti walau likusaidie kusogeza muda mbele? Je umekwisha wahi kutafuta chanzo cha habari za uhakika kwenye simu yako ukakikosa?
Je umekwishawahi kuambiwa kuna tangazo la kazi au tenda ila ukashindwa kuliona kwa vile lipo kwenye gazeti la siku za nyuma? Je umeshawahi kulazimika kuchoma au kutupa magazeti ya siku za nyuma kwa sababu yamejaa sana nyumbani kwako? Au je umeshawahi kuhisi kuna umuhimu wa kuona watoto wako wanachojifunza...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam leo. Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...

 

10 years ago

Mwananchi

Ijue afya yako -jongo husababishwa na namna tunavyokula -sehemu ya 2

Jumapili iliyopita tuliangalia maradhi ya kuvimba tezi kibofu au tezi dume. Tatizo hili hugeuka saratani baadaye, pia huwakabili wanawake katika kizazi au matiti. Hivyo ni muhimu tunapofikisha miaka 40 kukaguliwa na waganga kuhakikisha viungo viko sawa.

 

11 years ago

Michuzi

msaada tutani: dada uliyepoteza simu JKT unatafutwa upewe simu yako

Nilimsaidia usafiri dada mmoja,siku ya ijumaa wiki jana, Dada huyo alikuwa anatokea maeneo ya Tuangoma kuelekea maeneo ya Keko.Nilimshusha JKT Mgulani. Bahati mbaya alisahau simu yake kwenye gari. Simu hiyo iliishiwa chaji muda mchache baada ya kuisahau kwenye gari langu. Mie nikaichukua na kuiweka  kwenye chaji kama masaa mawili hivi.  Nilipoiwasha nilikuta keshafunga kadi yake na sijaweza hata kutafuta namba za watu wanaomjua ili niwasiliane naye. Pia hata jina sikuwahi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8

 Meneja  Mkazi wa kampuni  ya Simu za mkononi,  Peter  Zhang akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu  uzinduzi wa simu mpya ya kisasa ya Huawei P8 katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence  leo Jiji Dar es Salaam. Mkurungenzi wa Masoko  wa Huawei Tanzania Mamson Mjwala  akizungumza juu ya ubora wa betri ya simu hiyo aina ya Huawei P8 kwamba mfumo wa simu imezingatia matumizi ya muda mrefu mtumiaji anaweza kutumia simu kwa  siku nzima bila kuiongezea umeme huku kwa wale watumiaji...

 

11 years ago

BBCSwahili

Simu ya mkononi yaathiri mbegu za wanaume

Utafiti unapendekeza kuwa idadi ya mbegu za uzazi za wanaume huathiriwa kwa kuweka simu za mkononi kwenye mifuko ya suruale

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani