msaada tutani: dada uliyepoteza simu JKT unatafutwa upewe simu yako
Nilimsaidia usafiri dada mmoja,siku ya ijumaa wiki jana, Dada huyo alikuwa anatokea maeneo ya Tuangoma kuelekea maeneo ya Keko.Nilimshusha JKT Mgulani. Bahati mbaya alisahau simu yake kwenye gari. Simu hiyo iliishiwa chaji muda mchache baada ya kuisahau kwenye gari langu. Mie nikaichukua na kuiweka kwenye chaji kama masaa mawili hivi. Nilipoiwasha nilikuta keshafunga kadi yake na sijaweza hata kutafuta namba za watu wanaomjua ili niwasiliane naye. Pia hata jina sikuwahi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WOvPWsGCThQ/VgQSlrmJAiI/AAAAAAAAt48/g6B9oIUi0kk/s72-c/20150924075835.jpg)
MSAADA TUTANI: DADA WA NYUMBANI ATOWEKA NA MTOTO LOVENESS COLETHA JULLLU, FAMILIA YAMSAKA
![](http://2.bp.blogspot.com/-WOvPWsGCThQ/VgQSlrmJAiI/AAAAAAAAt48/g6B9oIUi0kk/s640/20150924075835.jpg)
Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...
9 years ago
Dewji Blog05 Oct
Ijue vizuri simu yako ya mkononi
Asilimia kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi nchini na duniani kwa ujumla wanatumia simu zenye Android. Mfano mzuri wa simu hizi ni Huawei Y360 zinazouzwa kwa ushirikiano wa Tigo na Huawei. Lakini je ni wangapi kati yetu tunajua vyema kutumia simu hizi? Nimekukusanyia njia kadhaa za kukusaidia, nikitumia Huawei Y360 kama mfano.
Angalizo; Nimechagua simu hii kama mfano kwa sababu ni simu mpya, inayouzwa bei rahisi ya 160,000 pekee na hivyo naamini idadi kubwa ya Watanzania watakua...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Hatua za kuchukua unapoibiwa simu yako
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Uingereza na Marekani zinadukua simu yako
10 years ago
BBCSwahili08 Jul
Unaathiriki vipi simu yako ikiisha nguvu
9 years ago
Dewji Blog28 Sep
Jinsi ya kuongeza Speed kwenye simu yako
Moja kati ya matatizo ya smartphones nyingi ni kuwa speed au kasi yake huwa ndogo sana. Hii hutokea mara nyingi kama umefungua applications/programs nyingi kwa mara moja. Je unawezaje kujikwamua na hali hii?
Kuna njia mbali mbali ambazo unaweza kutumia kuondokana na tatizo la simu kufanya kazi polepole. Njia kubwa na ya uhakika ni KUNUNUA SIMU YENYE UWEZO MKUBWA.
Kununua simu yenye uwezo wa kufungua application nyingi kwa wakati mmoja bila kusumbua ndio dawa sahihi ya kuondoka na tatizo...
10 years ago
TZToday![](http://www.tanzaniatoday.co.tz/in-tz.png)
TanzaniaToday : Sasa ipate kwenye simu yako
Pata TanzaniaToday Kwenye Simu yako
Maudhui na Ubora ulele katika mwonekano mpya.
TanzaniaToday Kwenye Simu yako ... ni web app yenye maudhui yote na habari zote zipatikanazo kwenye tovuti yetu , ikiwa imerahisisha kwa ajli ya simu za mkononi.
Itembelee sasa!
Kwa kutumia simu, Andika m.tanzaniatoday.co.tz
sehemu ya anwani ya browser ya simu yako ya mkononi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFUlNg8JktmQFp6ElSrvtpsm4uu1v5Nf1Cv8hFpMD86kg0RZs1QPOcs4Ubbzbw1Oroy37VUpdQr7qXmb4XrUi0BE/mahaba.jpg?width=650)
HUWEZI KUTONGOZA? SIMU YAKO INAWEZA KUKUSAIDIA