Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJIMAMBO: Wanaume Wote Huzaliwa Wakiwa na Usaliti-Lulu

Mrembo na mwigizaji  wa filamu mwenye mvuto zaidi hapa Bongo (kwa mujibu wa mtandao wa  yourbesttop10.com), Elizabeth Michael ‘Lulu’ jana  usiku aliandika bandiko mtandaoni ambalo liliwaacha midomo wazi baadhi ya mashabiki wake akiwashutumu wanaume wote kuwa wamezaliwa wakiwa  tayari wanausaliti na kuwa ni swala la kusubiri ni lini tu atafanya na kuwatahadhalisha wanawake wakaechonjo kwenye mahusiano yao.

Lulu aliandika ujumbe huo kwa lugha ya ‘KIMOMBO’ “All men are born hardwired to...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wanaume huru kujisaidia wakiwa wamesimama

Mahakama moja nchini Ujerumani imempa idhini mwanamaume mmoja kujisaidia haja ndogo akiwa amesimama baada ya mwenye nyumba kutaka alipwe akidai kuwa sakafu ya bafu lake iliharibiwa na mkojo wa mpangaji wake.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU, SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-7

Mkasa wa Lauryn (si jina lake halisi), ni somo kwako namna mtu anavyoweza kusaliti ndoa. Mara nyingi tego la usaliti huanza taratibu kama utani, ukiliruhusu hutawala na kukutesa kihisia, usipoyashinda hayo mateso hujikuta unaangukia dhambini. Lauryn aliisababishia ndoa yake misukosuko mingi. Kosa kubwa alilolifanya ni kutoka kimapenzi na kijana Paul aliyekuwa mpangaji mwenzake. Katika mfululizo wa simulizi yake, anaelezea jinsi...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU, SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-10

“Nilikwenda kufungua mlango, kumbe alikuwa mume wangu. Kwa kiasi fulani nilishtuka, maana kwa muda huo sikumtarajia kabisa. Hata yeye aliutambua mshtuko wangu, akaniuliza mbona nimeshtuka? Kabla sijajibu akaniuliza nimeanza lini tabia ya kufunga mlango mkubwa mchana? “Nilimjibu mshtuko wangu ni kwa sababu sikumtarajia muda huo nyumbani. Kuhusu mlango nilimwambia niliufunga ili majirani waone hakuna mtu. Kama ambavyo...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU, SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-3

Tuendelee pale kwenye simulizi ya msomaji wangu Lauryn Joe na kisa chake cha kutoka kimapenzi na kijana mpangaji mwenzake Paul. Stori yake inafundisha jinsi nyoyo iliyokosa malengo inavyoweza kutenda usaliti. Amini kwamba usaliti hauna nguvu. Lauryn hakuwahi kuvutiwa na Paul. Yeye ni mke wa mtu, kwa hiyo siku zote alijihesabu katika kundi la wanawake waaminifu sana katika ndoa. Awali alimchukulia Paul kama shemeji yake kwa sababu...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-5

Makala yetu inajieleza kwa kichwa chake hapo juu. Nilishafafanua kinagaubaga jinsi ambavyo usaliti usivyo na nguvu, isipokuwa akili iliyokosa malengo ndiyo inaweza kutenda dhambi hiyo. Katika kufundisha kwa mifano, nakuletea mfululizo wa mkasa wa Lauryn ambaye ni mke wa mtu, alipojikuta anasaliti ndoa yake kwa kutoka kimapenzi na kijana Paul ambaye ni mpangaji mwenzake. Nikukumbushe alipokomea hapa; “Nilipotoka chumbani kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani