Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaume huru kujisaidia wakiwa wamesimama

Mahakama moja nchini Ujerumani imempa idhini mwanamaume mmoja kujisaidia haja ndogo akiwa amesimama baada ya mwenye nyumba kutaka alipwe akidai kuwa sakafu ya bafu lake iliharibiwa na mkojo wa mpangaji wake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Je ni vema wanaume waende haja ndogo wamesimama au wameketi?

Wengi wa wanaume huenda haja ndogo bila kufikiria, lakini ni nini huwafanyanya wachague njia ya kujisaidia haja ndogo? Kuna sababu muhimu - utamaduni, jamii na hata siasa - ambazo zimewafanya wanaume waende haja hiyo namna hiyo, lakini labda ni wakati wa kuzingatia suala la mtizamo wa kiafya na usafi.

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Wanaume Wote Huzaliwa Wakiwa na Usaliti-Lulu

Mrembo na mwigizaji  wa filamu mwenye mvuto zaidi hapa Bongo (kwa mujibu wa mtandao wa  yourbesttop10.com), Elizabeth Michael ‘Lulu’ jana  usiku aliandika bandiko mtandaoni ambalo liliwaacha midomo wazi baadhi ya mashabiki wake akiwashutumu wanaume wote kuwa wamezaliwa wakiwa  tayari wanausaliti na kuwa ni swala la kusubiri ni lini tu atafanya na kuwatahadhalisha wanawake wakaechonjo kwenye mahusiano yao.

Lulu aliandika ujumbe huo kwa lugha ya ‘KIMOMBO’ “All men are born hardwired to...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya:Wanaume huru kuoa wake wengi

Rais Uhuru Kenyatta ametia saini Sheria inayoruhusu wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja bila ya kumuomba idhini mke wa kwanza

 

11 years ago

GPL

WANAUME HURU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NCHINI KENYA

SHERIA inayoruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, imepitishwa nchini Kenya.
Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria hiyo licha ya malalamiko kutoka kwa vikundi vya wanawake nchini humo. Taarifa kutoka katika ofisi ya Rais ilisema kuwa mswada huo ambao unajumuisha vipengee kadhaa kuhusu ndoa , imekuwa sheria sasa. Mswada huo ulioleta mageuzi katika sheria ya sasa , ulipitishwa na bunge mwezi jana kuidhinisha rasmi utamaduni wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi washauriwa 'kujisaidia' bafuni

Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Uingereza wametakiwa kwenda haja ndogo bafuni katika juhudi za kuzuia matumizi mabaya ya maji.

 

10 years ago

Mwananchi

Wagonjwa walazimika kujisaidia porini

Zahanati ya Kijiji cha Sandulula wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwamo kukosa choo, hivyo kusababisha wagonjwa kujisaidia haja ndogo na kubwa porini.

 

11 years ago

Michuzi

ujerumani leo yaigaragaza Ureno ya Cristian Ronaldo 4-0 kama wamesimama vile.....

 Na Sultani Kipingo Ushindi kwa Ujerumani ulitegemewa, ukizingatia Ureno  ni kama kwamba timu ya mtu mmoja – Ronaldo. Lakini ukweli ni kwamba isingekuwa hivyo baada ya Pepe kuoneshwa kadi nyekundu katika kipindi cha kwanza. Ila mechi hii haikuwa ni juu ya Pepe, na wala haikuwa ya Miroslav Klose, na hata haikuwa juu ya Cristiano Ronaldo. Mechi yote hii ilikuwa juu ya Thomas Muller.  Mshambuliaji huyu wa Ujerumani tayari ameshaanza mbio kuelekea kwenye mstari wa mwisho wa mfungaji bora wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Shule yafungwa Bunda baada ya watu kujisaidia ovyo madarasani

>Shule ya Msingi Kibara B, iliyoko wilayani Bunda mkoani Mara, imefungwa na wananchi kwa muda kutokana na watu wasiofahamika kujisaidia kwenye vyumba vya madarasa, hali inayohatarisha afya za wanafunzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani