Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule yafungwa Bunda baada ya watu kujisaidia ovyo madarasani

>Shule ya Msingi Kibara B, iliyoko wilayani Bunda mkoani Mara, imefungwa na wananchi kwa muda kutokana na watu wasiofahamika kujisaidia kwenye vyumba vya madarasa, hali inayohatarisha afya za wanafunzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Shule Bunda yafungwa kwa kutapakaa kinyesi

SHULE ya Msingi Kibara B iliyoko wilayani Bunda, Mara, imefungwa na wananchi kwa muda kutokana na watu wasiofahamika kujisaidia kwenye vyumba vya madarasa, hali inayohatarisha afya za wanafunzi. Mwenyikiti wa...

 

10 years ago

Habarileo

Shule yafungwa kwa hofu ya simba mla watu

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.SHULE ya Msingi Saadani Chumvi iliyopo Kata ya Mkange wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, imefungwa baada ya wazazi kuwa na hofu baada ya watu wawili na mbuzi 70 kuliwa na Simba kutoka kwenye Hifadhi ya Taifa ya Saadani.

 

5 years ago

Michuzi

UJENZI WA SHULE MPYA SHIKIZI KUTATUA MATATIZO YA UMBALI MREFU WA KUTEMBEA NA MIRUNDIKANO MADARASANI


Na Verediana Mgoma,Jimbo la Musoma Vijijini

KIJIJI cha BUANGA cha Kata ya RUSOLI kina Jumla ya VITONGOJI 9 na SHULE za MSINGI 2 (S/M Bwenda na S/M Bwenda B).
MWALIMU MKUU wa S/M Bwenda B, Mwl Christopher Cosmas  amesema Shule hiyo iliyofunguliwa Mwaka 2015 ina jumla ya WANAFUNZI 482, VYUMBA vya MADARASA 4 na inao UPUNGUFU wa Vyumba 5 vya Madarasa. Kwa hiyo MADARASA 4 yanasomea CHINI ya MITI na kipo Chumba cha Darasa kina WANAFUNZI 99.
MATATIZO ya UMBALI MREFU wa kutembea na MIRUNDIKANO...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule yafungwa kwa kukosa choo

SHULE ya Msingi Bugarama ambayo ipo katika eneo linalozunguka Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold Mines Ltd imefungwa baada ya kukosa vyoo. Mkaguzi Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Shule yafungwa kwa kukosa wanafunzi

Shule ya Msingi ya Namfua iliyopo wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro imefungwa kwa kukosa wanafunzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Shule Mara yafungwa kwa kukosa choo

Mkaguzi Mkuu wa Shule za Msingi wilayani Tarime Josephu Mowinga ameifungia Shule ya msingi Kegonga iliyopo kata ya Kegonga baada ya kubainika haina choo kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Vijimambo

Siwezi Kumjibu Mtu Anayesema Sema Ovyo Kuwa Nakusanya watu Wanishawishi Kugombea Urais

LowassaAkiongea mbele ya wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya kikristo waliokwenda kumshawishi agombee urais wa Tanzania, Lowassa amesema hawezi kumjibu mtu aliyebwabwaja katika magazeti kuwa anakusanya watu eti kwa lengo la kupata uungwaji mkono! Amesema akimjibu atampa ujiko hivyo amemdharau!Katika magazeti ya leo yalimnukuu Makamba akidai kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kusafirisha na kuwalipa watu ilikujionyesha mbele ya jamii kuwa wanashawishiwa kuomba urais!

 

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

10 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani