Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule Bunda yafungwa kwa kutapakaa kinyesi

SHULE ya Msingi Kibara B iliyoko wilayani Bunda, Mara, imefungwa na wananchi kwa muda kutokana na watu wasiofahamika kujisaidia kwenye vyumba vya madarasa, hali inayohatarisha afya za wanafunzi. Mwenyikiti wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Shule yafungwa Bunda baada ya watu kujisaidia ovyo madarasani

>Shule ya Msingi Kibara B, iliyoko wilayani Bunda mkoani Mara, imefungwa na wananchi kwa muda kutokana na watu wasiofahamika kujisaidia kwenye vyumba vya madarasa, hali inayohatarisha afya za wanafunzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule yafungwa kwa kukosa choo

SHULE ya Msingi Bugarama ambayo ipo katika eneo linalozunguka Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold Mines Ltd imefungwa baada ya kukosa vyoo. Mkaguzi Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Shule yafungwa kwa kukosa wanafunzi

Shule ya Msingi ya Namfua iliyopo wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro imefungwa kwa kukosa wanafunzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Shule Mara yafungwa kwa kukosa choo

Mkaguzi Mkuu wa Shule za Msingi wilayani Tarime Josephu Mowinga ameifungia Shule ya msingi Kegonga iliyopo kata ya Kegonga baada ya kubainika haina choo kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Habarileo

Shule yafungwa kwa hofu ya simba mla watu

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.SHULE ya Msingi Saadani Chumvi iliyopo Kata ya Mkange wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, imefungwa baada ya wazazi kuwa na hofu baada ya watu wawili na mbuzi 70 kuliwa na Simba kutoka kwenye Hifadhi ya Taifa ya Saadani.

 

10 years ago

Vijimambo

Manispaa ya Temeke imeteketeza kinyesi kilichokutwa katika chumba cha mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kibasila

Manispaa ya Temeke imeteketeza kinyesi kilichokutwa katika chumba cha mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kibasila Gaudensia Albert baada ya maofisa wa afya wa manispaa hiyo kuchukua hatua hiyo ili kunusuru afya za wakazi wa eneo hilo.
Ama kweli ukistaajabu ya musa hakika utayaona ya firauni...na kuishi kwingi ni kuona mengi..hali kadhalika wahenga wanasema Tembea uyaone...Misemo hiyo mitatu inaweza kujidhihirisha kwa namna tofauti tofauti kupitia tukio la mkazi wa Jiji la Dar es salaam ambaye...

 

10 years ago

Mtanzania

Wazoa maji ya kinyesi kwa mikono

Jonas Mushi na Tunu Nassoro(TEC), Dar es Salaam
SIKU chache baada ya kutokea mafuriko makubwa katika eneo la Buguruni kwa Mnyamani, wakazi wa eneo hilo wako hatarini kukumbwa na mlipuko wa magonjwa baada ya nyumba zao kujaa uchafu uliombatana na kinyesi.
Hali hiyo, imesababisha wananchi hao kulazimika kuzoa uchafu huo kwa kutumia mikono bila kuwa na vifaa maalumu, jambo ambalo linahatarisha afya zao.
MTANZANIA ilifika eneo hilo na kushuhudia watu wakichota maji machafu ambayo walidai...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kuchimba dhahabu kutoka kwa Kinyesi !

Amini usiamini wanasayansi nchini Marekani wameanza mikakati ya kusafisha dhahabu kutoka kwa kinyesi cha watu.

 

9 years ago

Mwananchi

Mlangua tiketi Ubungo ajihami kwa kinyesi

Mtu mmoja anayetuhumiwa kuuza tiketi za ulanguzi kwenye Kituo cha Mabasi cha Ubungo (UBT), jana alitumia kinyesi cha binadamu kujilinda dhidi ya polisi waliokuwa wakitaka kumkamata baada ya kubaini alikuwa akifanya biashara hiyo haramu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani