Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJENZI WA SHULE MPYA SHIKIZI KUTATUA MATATIZO YA UMBALI MREFU WA KUTEMBEA NA MIRUNDIKANO MADARASANI


Na Verediana Mgoma,Jimbo la Musoma Vijijini

KIJIJI cha BUANGA cha Kata ya RUSOLI kina Jumla ya VITONGOJI 9 na SHULE za MSINGI 2 (S/M Bwenda na S/M Bwenda B).
MWALIMU MKUU wa S/M Bwenda B, Mwl Christopher Cosmas  amesema Shule hiyo iliyofunguliwa Mwaka 2015 ina jumla ya WANAFUNZI 482, VYUMBA vya MADARASA 4 na inao UPUNGUFU wa Vyumba 5 vya Madarasa. Kwa hiyo MADARASA 4 yanasomea CHINI ya MITI na kipo Chumba cha Darasa kina WANAFUNZI 99.
MATATIZO ya UMBALI MREFU wa kutembea na MIRUNDIKANO...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Ndege huyu alisafiri vipi umbali mrefu zaidi duniani?

Kwa kutumia mbinu ya kumuwekea setilaiti ndege, wanasayansi wamemfuatilia ndege ambaye amepaa zaidi ya maili 7,500 (sawa na kilomita 12,000) kutoka Afrika Kusini hadi katika eneo la kuzalia lililopo Mongolia.

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI JIJI LA DODOMA AAHIDI KUWAPATIA PIKIPIKI WALIMU WANAOTEMBEA UMBALI MREFU

Charles James, Michuzi TV

KATIKA kuongeza motisha ya ufundishaji, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi ameahidi kuwapatia pikipiki walimu ambao wamekua wakitembea umbali mrefu kwenda mashuleni.

Kunambi ametoa ahadi hiyo leo katika uzinduzi wa shule ya msingi Mavunde ambayo imejengwa kwa ushirikiano wa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde na Halmashauri ya Jiji hilo.

Akizungumza mbele ya mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Kunambi amesema kwa kutambua...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baraza la Ujenzi lafanikiwa kutatua migogoro ya ujenzi 41 mwaka 2015, lawataka wananchi kuwa makini kabla ya kufanya ujenzi

PIX 1 (1)

Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho  akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu Baraza hilo lilivyofanikiwa kutatua migogoro kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi nchini.

PIX 3 (1)

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho  leo Jijini Dar es salaam kuhusu Baraza hilo lilivyofanikiwa kutatua migogoro kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi...

 

11 years ago

Mwananchi

Shule yafungwa Bunda baada ya watu kujisaidia ovyo madarasani

>Shule ya Msingi Kibara B, iliyoko wilayani Bunda mkoani Mara, imefungwa na wananchi kwa muda kutokana na watu wasiofahamika kujisaidia kwenye vyumba vya madarasa, hali inayohatarisha afya za wanafunzi.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kutatua matatizo ya marubani

SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inatatua matatizo yanayowakabili marubani wa kitanzania ikiwa ni pamoja na upendeleo wa ajira kwa marubani wa kigeni na uwazi katika mitihani ya marubani.

 

9 years ago

Vijimambo

Unadhani nini kifanyike kutatua matatizo ya walimu Tanzania?


Mbunge sharobaro kutoka Kenya Mike Mbuvi Sonko na Mwenzake Moses Wetang'ula, wamesema wako tayari wakatwe mishahara yao ili serikali iweze kulipa mishahara ya walimu wanayodai.
Unadhani nini kifanyike kutatua matatizo ya walimu Tanzania?

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE COSATO CHUMI KUTATUA TATIZO LA MAJI KATIKA MJI WA MAFINGA LILOTUDUMI KWA MUDA MREFU.

 Mbunge wa mafinga mjini cosato chumi akikagua chanzo maji cha ikangafu wakati wa ziara yake ya kutembelea vyanzo vya maji na matanki ya kuhifadhia maji Mbunge wa mafinga mjini cosato chumi akikagua moja ya tanki la kuhifadhia maji.kushoto ni bw uhaula ,bw shaibu nnunduma mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa mafinga wakijadili jambo baada ya kukagua baadi ya vyanzo hivyo vya maji.
MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini cosato chumi amefanya ziara ya kuangalia jinsi gani anaweza kutatua tatizo la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tutengeneze Katiba inayolenga kutatua matatizo ya wananchi wetu kwa miaka 50 ijayo: Prof. Mwandosya

Mwandosya akizungumza 3

Mjumbe wa Bunge Maalum, Mhe. Prof. Mark Mwandosya akichangia mjadala wa ndani ya Bunge Maalum kujadili taarifa za kamati za bunge hilo zilizowasilishwa wiki iliyopita kwa ajili ya kuandika Katiba inayopendekezwa.(Picha na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Prof. Mark Mwandosya ameeleza kuwa mpaka ifikapo mwaka 2055 Tanzania itakuwa imeachana na umaskini katika nchi ya uchumi wa kwanza endapo kutakuwa na dhamira ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani