Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtangazaji wa 102.5 Choice FM kuiwakilisha Tanzania kwenye kongamano la Obama

Picha kwa hisani ya ubalozi wa Marekani Tanzania

U.S. Embassy Public Affairs Officer Ms. Marissa Maurer kushoto akikabithi ticket kwa Mtangazaji kutoka Clouds Media group (Choice FM 102.5) Louissa Babbie Kabae ambae pia ni brand Manager kushiriki kwenye U.S. Commitment to Africa Reporting Tour kuanzia July 26 through August 8 nchini Marekani.

Kabae ataungana na Waandishi wengine zaidi ya 20 kutoka nchi mbalimbali Afrika kwenye tour Washington DC na kwenye jiji la Atlanta kwa ajili ya U.S –...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JAMBO BUKOBA KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE KONGAMANO LA MICHEZO LA " DISCOVER FOOTBALL" NCHINI UJERUMANI.

Shirika la Jambo Bukoba limepata Mwaliko kuhudhura Kongamano la Michezo Nchini Ujerumani lenye Malengo ya Kuinua Wanawake kupitia Kwenye Michezo(Soccer). Wakiwa Ughaibuni Ujerumani Watajifunza haki za Wanawake Kiujumla ili wawe Mabalozi kwa wenzao hapa Hapa Nyumbani. Kongamano hilo la Michezo linaloitwa Discover Football litashirikisha Nchi 100 na Tanzania itawakilishwa na Shirika hilo la Jambo Bukoba lenye Maskani yake Mkoa wa Kagera. Safari hiyo itaanza kesho juni 25, 2015. Picha na...

 

10 years ago

Africanjam.Com

MILLEN MAGESE KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BET AWARDS 2015

Mlango mwingine ni huu unafunguka kwenye historia ya Entertainment Tanzania !! Tayari duniani wanatujua kwa Tuzo nyingi ambazo zimebebwa na mastaa kama AY, Vanessa Mdee na Diamond Platnumz.. Kama bado hujajua ni kwamba mwaka huu pia kuna jina la Mbongo wetu mmoja kwenye walioteuliwa kwenye Tuzo za BET 2015.YES.. Jina jingine sio kwenye muziki tena, ni Supermodel wa kwetu kwenye Fashion duniani, Millen Magesse ambaye ameteuliwa kwenye kipengele kipya cha BET ambacho ni BET Global Good...

 

10 years ago

Bongo5

‘Kerewa’ ya Shetta yaingia kwenye Top 10 za Radio 3 Nigeria, NAIJA 102.7 FM, CITY 105.1 FM na THE BEAT 99.9FM

Shetta ameanza kuona matunda ya video yake ya ‘Kerewa’ aliyoifanya Afrika Kusini na director GodFather. Baada ya video yake kuanza kuchezwa kwenye vituo vya kimataifa kama MTV Base, Channel O na Soundcity, wimbo huo aliomshirikisha Diamond Platnumz umeingia kwenye Top 10 za Radio tatu za Nigeria. Kupitia chati ya NAIJA 102.7 FM ‘Kerewa’ ipo nafasi […]

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Bilal aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye kongamano la kimataifa kuhusu biashara haramu ya wanyamapori duniani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal, akiwa na ujumbe wa Tanzania kwenye kongamano la Kimataifa kwa Viongozi wakuu wa Nchi, kuhusu biashara haramu ya wanyamapori Duniani. Kongamano hilo limefanyika leo March 25,2015 kwenye Hoteli ya Mowana iliyopo katika mbuga ya wanyama Kasane Nchini Botswana. kulia Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal, akiwa na...

 

10 years ago

Mtanzania

Vanessa Mdee kuiwakilisha Tanzania mkutano wa uchumi

Vanessa-MdeeNA MWANDISHI WETU
VANESSA Mdee ni miongoni mwa wasanii tisa wa muziki kutoka nchi mbalimbali za Afrika, watakaowakilisha katika mkutano wa kiuchumi wa dunia kwa Afrika na wa viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika wakati watakapozindua wimbo wa ‘Strong Girl’ unaohamasisha kampeni inayojulikana kama “Poverty is Sexist”.
Licha ya wimbo huo kuja kuzinduliwa rasmi katika mkutano huo utakaofanyika nchini Afrika Kusini, kwa sasa unaendelea kuzinduliwa katika nchi mbalimbali ikiwemo Nigeria, Msumbiji...

 

10 years ago

Mwananchi

Van Vicker:Mtangazaji anayefunika kwenye filamu

Unapozungumzia wacheza filamu mahiri barani Afrika lazima Van Vicker atakuwa miongoni mwa mastaa watakaokuwapo kwenye orodha hiyo.

 

11 years ago

Bongo5

Tarajia kumuona VJ Penny kama mtangazaji kwenye show kubwa ya TV

Mambo yanazidi kumnyookea Ex wa Diamond Platnumz, Penniel Mungilwa aka VJ Penny kwakuwa licha ya kuvishwa pete na kumponya kidonda alichoachiwa na hitmaker huyo, ameendelea kupata deals baada ya deals. Penny akipitia script ya kipindi Mtangazaji huyo wa redio na runinga, ataanza kuonekana hivi karibuni kwenye show inayohusu filamu za Tanzania itakayoonekana kwenye kituo cha […]

 

10 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa Magic Fm, TeeJay achukua nafasi ya Jokate kwenye ‘The One Show’ ya TV One

Kipindi cha runinga ‘The One Show’ cha TV One kilichokuwa kikiendeshwa na Jokate Mwegelo na Ezden Jumanne, kimepata mtangazaji mpya wa kike aliyechukua nafasi ya Jokate. Ezden na TeeJay Mtangazaji huyo ni Tahjir Siu a.k.a TeeJay, ambaye sasa atakuwa akifanya show hiyo na Ezden. TV 1 ilimtambulisha mwana familia huyo mpya kupitia Instagram: “Ndugu watazamaji […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani