MILLEN MAGESE KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BET AWARDS 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-8p0Y_KYDSwo/VVuRRG86atI/AAAAAAAABjQ/VxVu04JSZxE/s72-c/Millen-Happiness-Magese.jpg)
Mlango mwingine ni huu unafunguka kwenye historia ya Entertainment Tanzania !! Tayari duniani wanatujua kwa Tuzo nyingi ambazo zimebebwa na mastaa kama AY, Vanessa Mdee na Diamond Platnumz.. Kama bado hujajua ni kwamba mwaka huu pia kuna jina la Mbongo wetu mmoja kwenye walioteuliwa kwenye Tuzo za BET 2015.YES.. Jina jingine sio kwenye muziki tena, ni Supermodel wa kwetu kwenye Fashion duniani, Millen Magesse ambaye ameteuliwa kwenye kipengele kipya cha BET ambacho ni BET Global Good...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond Platnumz….(+Picha)
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Afrika Kusini ambapo kundi la Mafikizolo wameingia location kushoot video mpya ya single yao waliyomshirikisha Diamond Platnumz. Safari hii kundi hilo limeamua kushoot pia na supermodel kutokea Tanzania Millen Magese ambaye ataonekana katika video hiyo mpya iliyotayarishwa huko Johannesburg, Afrika Kusini. Hizi ni baadhi ya picha zikionesha Mafikizolo, Diamond Platnumz […]
The post Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-WVeWjqp0KuA/VVuTJkUh1zI/AAAAAAAABjc/wVY6RpyFN3U/s72-c/bet-awards-logo-1417098900-hero-wide-0.jpg)
NOMINEES BET AWARDS 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-WVeWjqp0KuA/VVuTJkUh1zI/AAAAAAAABjc/wVY6RpyFN3U/s1600/bet-awards-logo-1417098900-hero-wide-0.jpg)
BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA
Aka (South Africa)
Fally Ipupa (Dr Congo)
Sarkodie (Ghana)
Sauti Sol (Kenya)
Stonebwoy (Ghana)
The Soil (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Yemi Alade (Nigeria)
NEW CATEGORY BET GLOBAL GOOD AWARD
Millen Magese (Tanzania)
BEST FEMALE R&B/POP ARTIST
Beyoncé
Ciara
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
BEST MALE R&B/POP ARTIST
August Alsina
Chris Brown
John Legend
The Weeknd
Trey Songz
Usher
BEST GROUP
A$Ap Mob
Jodeci
Migos
Rae Sremmurd
Rich Gang
Young Money
BEST COLLABORATION
August Alsina F/...
11 years ago
Michuzi18 Jul
MASIKINI HAPPINESS MILLEN MAGESE!!!
![](https://3.bp.blogspot.com/-tkovKxT_G2U/U8a6OlIxZ1I/AAAAAAAALJ0/eViPVAMjtBk/s1600/10527555_785900104822601_446683285170656669_n.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-2QhvdTB3zqE/U8a6OkVbppI/AAAAAAAALJw/fLP9qbkmlj4/s1600/25a05eef7763a2bf_11.preview.jpg)
10 years ago
TheCitizen05 Jun
Millen Magese: My voice has been heard
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-fIDrl2uXoiI/Ui3yl7f2koI/AAAAAAAAMmw/7Pfwc22x7P8/s640/MAGEZA.png?width=650)
MILLEN MAGESE AMSAPRAIZ JOKATE
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-a8CTue7EVNo/VZF3LebPTQI/AAAAAAAACUA/pZNiILXYOFU/s72-c/bet-awards-2015.jpg)
LIST KAMILI YA WASHINDI "BET AWARDS 2015"
![](http://3.bp.blogspot.com/-a8CTue7EVNo/VZF3LebPTQI/AAAAAAAACUA/pZNiILXYOFU/s400/bet-awards-2015.jpg)
Best...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Usher na Kanye West kutingisha BET Awards 2015
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Naiomba Serikali kunipa eneo la Hospitali ya Wanawake — Millen Magese
MWANAMITINDO wa kimataifa wa hapa nchini na Miss Tanzania 2001 anaefanya kazi yake hiyo nchini Marekani Millen Magese ameiomba serikali kumpatia eneo ambalo atalitumia kujenga hospitali maalum ya kushugulikia afya ya wanawake.
Millen alitoa ombi hilo jana wakati akizungumza na watu mbalimbali waliohudhuria semina ya bure kuhusiana na hali ya Endometriosis inayowakabili wanawake wengi hapa nchini na Afrika kwa ujumla.
Millen anakabiliwa na tatizo hilo la Endometriosis ambalo ni hali ya...