MASIKINI HAPPINESS MILLEN MAGESE!!!
JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana miaka minne na tayari ameshaongezewa miaka miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.
Happiness...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9Yis6-MiGx1S5PLeTZuR9Yuwc71w2xgWaIyHKX*pljHQKPUIlJupV9Cmd7mHFZ5FhoTcl6aZ4wjZZNiytTl2g1r*/HAPPINESSMAGESE2.jpg?width=720)
MILLEN HAPPINESS MAGESE: ASIMULIA AMBAVYO HAWEZI KUBEBA UJAUZITO, ASEMA YUPO TAYARI KUASILI
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-fIDrl2uXoiI/Ui3yl7f2koI/AAAAAAAAMmw/7Pfwc22x7P8/s640/MAGEZA.png?width=650)
MILLEN MAGESE AMSAPRAIZ JOKATE
10 years ago
TheCitizen05 Jun
Millen Magese: My voice has been heard
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Naiomba Serikali kunipa eneo la Hospitali ya Wanawake — Millen Magese
MWANAMITINDO wa kimataifa wa hapa nchini na Miss Tanzania 2001 anaefanya kazi yake hiyo nchini Marekani Millen Magese ameiomba serikali kumpatia eneo ambalo atalitumia kujenga hospitali maalum ya kushugulikia afya ya wanawake.
Millen alitoa ombi hilo jana wakati akizungumza na watu mbalimbali waliohudhuria semina ya bure kuhusiana na hali ya Endometriosis inayowakabili wanawake wengi hapa nchini na Afrika kwa ujumla.
Millen anakabiliwa na tatizo hilo la Endometriosis ambalo ni hali ya...
11 years ago
MichuziMILLEN MAGESE AOMBA USHIRIKIANO SERIKALINI NA WANANCHI KWA UJUMLA
Millen alitoa ombi hilo jana wakati akizungumza na watu mbalimbali waliohudhuria semina ya bure kuhusiana na hali ya Endometriosis inayowakabili wanawake wengi hapa nchini na Afrika kwa ujumla. Millen anakabiliwa na tatizo hilo la Endometriosis ambalo ni hali ya...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-8p0Y_KYDSwo/VVuRRG86atI/AAAAAAAABjQ/VxVu04JSZxE/s72-c/Millen-Happiness-Magese.jpg)
MILLEN MAGESE KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BET AWARDS 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-8p0Y_KYDSwo/VVuRRG86atI/AAAAAAAABjQ/VxVu04JSZxE/s400/Millen-Happiness-Magese.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
HAPPINESS MILLEN MAGESA: Mrembo aliyejitolea kuwaokoa wanawake
NI kati ya wanamitindo waliofanikiwa kupitia kazi yake, mwanadada huyu anayeishi na kufanya kazi nchini Marekani ingawa ameamua kuweka kambi nchi ili kuhakikisha anatoa elimu ya kutosha. Huyo sio mwingine...
11 years ago
GPLHAPPINESS MAGESE ATINGA GLOBAL TV ONLINE