Mtangazaji wa Magic Fm, TeeJay achukua nafasi ya Jokate kwenye ‘The One Show’ ya TV One
Kipindi cha runinga ‘The One Show’ cha TV One kilichokuwa kikiendeshwa na Jokate Mwegelo na Ezden Jumanne, kimepata mtangazaji mpya wa kike aliyechukua nafasi ya Jokate. Ezden na TeeJay Mtangazaji huyo ni Tahjir Siu a.k.a TeeJay, ambaye sasa atakuwa akifanya show hiyo na Ezden. TV 1 ilimtambulisha mwana familia huyo mpya kupitia Instagram: “Ndugu watazamaji […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/uCdnAN55a3E/default.jpg)
10 years ago
Bongo519 Nov
Jokate na Gaetano kuja na show yao Maisha Magic, December hii
Baada ya Salama Jabir kupata shavu la kuwa na show kwenye kituo cha runinga cha Maisha Magic, sasa ni zamu ya Jokate Mwegelo. Mtangazaji huyo anatarajiwa kuongeza show yake ya tatu katika TV (baada ya The One Show ya TV1 na Top 10 Most ya Channel O), itakayoanza kuonekana kupitia Maisha Magic, December mwaka huu. […]
11 years ago
Bongo519 Jul
Tarajia kumuona VJ Penny kama mtangazaji kwenye show kubwa ya TV
Mambo yanazidi kumnyookea Ex wa Diamond Platnumz, Penniel Mungilwa aka VJ Penny kwakuwa licha ya kuvishwa pete na kumponya kidonda alichoachiwa na hitmaker huyo, ameendelea kupata deals baada ya deals. Penny akipitia script ya kipindi Mtangazaji huyo wa redio na runinga, ataanza kuonekana hivi karibuni kwenye show inayohusu filamu za Tanzania itakayoonekana kwenye kituo cha […]
11 years ago
Bongo505 Jul
Video: Jimmy Kabwe achukua nafasi ya ML Chris kwenye The Big Easy ya Choice FM
Mtangazaji mkongwe wa redio nchini na mmoja wa watangazaji wa kwanza kabisa wa Clouds FM, Jimmy Kabwe, amechukua nafasi ya Chris Lugoe aka ML Chris kwenye kipindi cha The Big Easy cha Choice FM ambapo atakuwa akishirikiana na Abby. “Kwakweli Choice FM is my choice,” Kabwe ameiambia Bongo5 kwenye mahojiano maalum. “Muda ulipofika wa mimi […]
10 years ago
Bongo530 Nov
Wema ampongeza Diamond, amuita ‘kaka’, Zari achukua nafasi yake rasmi, amsindikiza kwenye #CHOAMVA14
It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O. Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’, awamu hii ameitwa ‘kaka’. “Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka […]
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHWAVI ACHUKUA NAFASI YAKE
10 years ago
Bongo520 Feb
M-Net kuifunga Maisha Magic, kurudisha nguvu kwenye Maisha Magic Swahili
Kampuni ya M-Net imeamua kuchukua uamuzi mgumu kwa kutangaza kuwa itaifunga channel yake iliyoanzishwa mwaka jana, Maisha Magic. Sababu za kuifunga, ni kutokana na kushindwa kufanya vizuri kama ilivyokuwa ikitarajiwa. Channel ya Maisha Magic itafungwa mwishoni mwa March 2015. “Bahati mbaya, Maisha Magic haijafanikiwa na kukua kama matarajio yetu yalivyokuwa. Kwa jumla, channel ilishindwa kufikia […]
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/V88sy17QeLs/default.jpg)
10 years ago
Bongo510 Nov
Salama Jabir na Malonza (Kenya) kuja na show mpya Maisha Magic
Huenda mashabiki wa Salama Jabir hawataishia kumuona kwenye kipindi cha Mkasi peke yake. Staa huyo anaonekana kuungana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya kwenye Big Brother Stargame, Malonza Chege kwenye kipindi kipya Maisha Magic ambacho hakijajulikana kitaitwaje.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania