Vanessa Mdee kuiwakilisha Tanzania mkutano wa uchumi
NA MWANDISHI WETU
VANESSA Mdee ni miongoni mwa wasanii tisa wa muziki kutoka nchi mbalimbali za Afrika, watakaowakilisha katika mkutano wa kiuchumi wa dunia kwa Afrika na wa viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika wakati watakapozindua wimbo wa ‘Strong Girl’ unaohamasisha kampeni inayojulikana kama “Poverty is Sexist”.
Licha ya wimbo huo kuja kuzinduliwa rasmi katika mkutano huo utakaofanyika nchini Afrika Kusini, kwa sasa unaendelea kuzinduliwa katika nchi mbalimbali ikiwemo Nigeria, Msumbiji...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UXQf1OuZmGw/VLk8FOEdBeI/AAAAAAAG930/3TBbqXdD0Z4/s72-c/exchanging-contracts-Swahili.jpg)
VANESSA MDEE AULA UBALOZI WA SAMSUNG TANZANIA
Akizungumza leo na waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli Hayyat Regency Jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya kielektroniki ya Samsung,Mike Seo amesema kuwa, "kwa kutambua ongezeko la uhitaji wa simu za kisasa kwa soko la kati nchini Tanzania ni bora kuwasiliana na wateja wetu kupitia mtu ambaye amebeba sifa zinazoendana...
9 years ago
Bongo504 Jan
Vanessa Mdee amtaja mwanaume anayevaa vizuri zaidi Tanzania, naye ni?
![915526_1674671109457520_1194222309_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/915526_1674671109457520_1194222309_n-300x194.jpg)
Vanessa Mdee amemtaja mwanaume wa Tanzania anayemuona kuwa ndiye anayevaa vizuri zaidi kuliko wote.
Naye si mwingine zaidi ya mpenzi wake, Jux.
“Jux has effortless style,” Vanessa Mdee amuambia Diva kwenye mahojiano aliyofanya naye kwaajili ya blog yake.
“He’s got a knack for spotting out, pairing and pulling off a lot of different looks and styles.”
Kwenye mahojiano hayo pia Vanessa alieleza vazi alilowahi kuvaa na kujuta.
“It was a performance outfit and I later realised after my show how...
10 years ago
Bongo513 Jan
Vanessa Mdee awa msanii wa pili Tanzania kuwa na akaunti ya VEVO, baada ya Gosby
10 years ago
Bongo528 Dec
Diamond na Vanessa Mdee waing’arisha tena Tanzania kwa kushinda tuzo za Afrima Nigeria
9 years ago
Bongo512 Oct
Video: Vanessa Mdee — Never Ever
11 years ago
CloudsFM20 Jun
New Video: Vanessa Mdee - Come Over
Baada ya kuisubilia kwa hamu kubwa sana video ya wimbo wa Come over toka kwa Vanessa, imeachiwa siku ya jana kupitia account ya Youtube ya Vanessa mdee chukua muda wako kuiangalia....
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/8v1mVENcKC8/default.jpg)
10 years ago
Bongo508 Dec
New Video: Vanessa Mdee — Hawajui
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Ruby: Namtamani Vanessa Mdee
NA MWALI IBRAHIM
MSANII chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ ameonyesha tamaa ya mafanikio aliyonayo msanii mwenzake, Vanessa Mdee ‘Vee money’.
Ruby ambaye anatamba na wimbo wa ‘Nayule’ alisema, kutokana na mafanikio ya Vanessa ameamua kufuata nyayo zake ili afikie mafanikio yake.
“Anajiheshimu, ana kipaji na anajua nini anafanya na kipi mashabiki wake wanataka kwa wakati huo na mimi nataka kuwa kama yeye na ninaimani nitafika alipo,” alieleza...