Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magereza yapata leseni 102 za uchimbaji

Kamishna Jenerali wa Magereza, John MinjaJESHI la Magereza limepata leseni 102 za uchimbaji wa madini ya ujenzi katika maeneo mbalimbali ya magereza nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Leseni uchimbaji madini zafutwa

Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umesitisha utoaji wa leseni za uchimbaji madini ya ujenzi katika Jiji la Dar es Salaam ili kuokoa mazingira.

 

10 years ago

Habarileo

Leseni sita za uchimbaji madini zatolewa

SERIKALI imesema kuwa leseni zote za madini zikiwemo za utafiti, uchimbaji na zile za kuhodhi maeneo, zitakaguliwa baada ya miezi sita baada ya kutolewa kwa wamiliki ili kuhakikisha kuwa maeneo yaliyoombewa leseni, yanaendelezwa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wachimbaji wadogo wapewa mtaji na leseni za uchimbaji

Na Nathaniel Limu, Ikungi

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi Wilayani Ikungi, Mkoani Singida.

Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi, kimekabidhiwa leseni hizo hivi karibuni na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stepheni Maselle kwenye kijiji cha Sambaru.

Akikabidhi leseni hizo Naibu Waziri Maselle amewataka...

 

10 years ago

Michuzi

SHAMY TOURS YA ZANZIBAR YAPATA LESENI YA UTALII SWEDEN

IMG_2176Meneja Mwendeshaji wa kampuni ya Shamy Tours and Travel Agent Zanzibar, Bw. Khamis Mwinjuma Simba akitoa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo katika sekta ya utalii Zanzibar na Tanzania kwa ujumla wakati wa zoezi la kugawa zawadi za vinyago kwa wageni waalikwa zaidi ya 300 waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Mgahawa mkubwa unaotoa huduma za chakula cha Kitanzania unaomilikiwa na mpishi maarufu duniani mtanzania, Issa Kasuwi Kapande almaarufu kama ‘Chef Issa’ nchini...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA MAGEREZA KUINGIA UBIA WA UCHIMBAJI MADINI YA CHOKAA NA KAMPUNI YA TWIGA CEMENT YA JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Jeshi Magereza John Casmir Minja(kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alfonso Rodrudges(kulia) kabla ya kusaini Makubaliano ya ubia kati ya Shirika la Magereza na Kmapuni hiyo ya uchimbaji madini ya chokaa katika eneo la Gereza Wazo Hill leo Agosti 21, 2014 Jijini Dar es Salaam. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza John Casmir Minja(kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alfonso Rodrudges(kulia) wakisaini...

 

10 years ago

Michuzi

MAKABIDHIANO YA MKATABA WA MAKUBALIANO YA MRADI WA UBIA WA UCHIMBAJI MADINI YA CHOKAA KATI YA SHIRIKA LA TWIGA CEMENT NA MAGEREZA

 Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja akimkabidhi Mkataba wa Makubaliano ya mradi uchimbaji madini Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges. Shirika la Magereza limeingia ubia katika mradi huo na Kampuni ya Twiga Cement katika eneo la Jeshi la Magereza, Wazo Hill lililopo jijini Dar es Salaam ambapo hafla hiyo imefanyika leo Desemba 12, 2014 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza.  Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja akiwa makini...

 

11 years ago

Michuzi

CLOUDS MEDIA YAPATA LESENI YA URUSHAJI WA MATANGAZO KATIKA NCHI ZA FALME ZA KIARABU.


Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuwa imepewa leseni ya kurusha  matangazo  katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE).  Akielezea kuhusu leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni  hiyo Bwana Joseph Kusaga, amesema  sasa kituo cha  Clouds TV kimataifa kitakuwa kikishuhudiwa na watu wa mataifa mbalimbali.
Clouds TV kimataifa ni mwendelezo wa televisheni maarufu sana kwa vijana  nchini Tanzania,  hata hivyo sehemu kubwa ya maudhui yatakayokuwemo kwenye Clouds TV...

 

11 years ago

Dewji Blog

Shanta yatoa leseni, Mtaji, huku Tan Discovery yakabidhi vifaa kwa kikundi cha uchimbaji wa Dhahabu cha Aminika Singida

DC

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Manju Msambya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sambaru kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ya leseni tatu.

Na Hillary Shoo,

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd, imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi  Wilayani Ikungi Mkoani Singida.

Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi kimekabidhiwa leseni hizo jana na Naibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani