Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matukio ya Kuaga mwili wa askari aliyeuawa na majambazi Tabora

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda leo tarehe 30/04/2014 jioni amewaongoza waombelezaji na watendaji kutoka vyombo vya usalama, askari, taasisi za serikali na zisizo kiserikali za mkoa wa Tabora kuuaga mwili wa Askari PC JUMANNE ambaye aliyefariki baada kupigwa risasi na majambazi akiwa katika majukumu ya utendaji kazi. Mwili wa marehemu PC JUMANNE ukishushwa  kupelekwa ukumbini kwa ajili ya kuagwa RPC Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza  waombelezaji kuaga mwili wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MMOJA WA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI STAKISHARI WAAGWA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Koplo Gaudin Kakoko, likiwa  nyumbani kwa marehemu, Majohe, Ilala Jijini Dar es Salaam tayari kwa mwili wa marehemu kuagwa na wapendwa wake,Mwili huo ulisafirishwa jana kupelekwa kwao wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera kwa mazishi.Marehemu ni mmoja wa askari wanne waliouawa na majambazi hivi majuzi baada ya kukivamia kituo cha polisi Stakishari, Ukonga, Ilala Jijini Dar es Salaam, Mungu ailaze roho ya marehemu wote mahali pema peponi.Baadhi ya waombolezaji wakiwa...

 

11 years ago

GPL

UNDANI POLISI ALIYEUAWA NA MAJAMBAZI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Going,’ Pwani
JUMANNE, Juni 10, mwaka huu majambazi yapatayo sita, yalivamia Kituo Kidogo cha Polisi Kimanzichana na kupora silaha na baadaye kumuua askari polisi mmoja, mgambo mmoja na kumjeruhi mwingine na kutoweka. Marehemu Venance Mushi enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa mashuhuda, majambazi hayo yalifika katika kituo hicho majira ya saa saba usiku, yakiwa yanakokota bodaboda mbili...

 

11 years ago

Mwananchi

Sista aliyeuawa na majambazi kuagwa leo

Sista wa Kanisa Katoliki, Clencensia Kapuli aliyeuawa na majambazi na kuporwa kiasi kikubwa cha fedha ambacho bado hakijafahamika, anatarajiwa kuagwa leo katika Parokia ya Mtakatifu Gaudence Makoka, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Askari aliyeuawa aagwa na jeshi

Mwili wa Konstebo Simon Matiku, askari aliyeuawa kwa kupigwa risasi na mwenzake uliagwa jana kwenye viwanja vya kambi ya jeshi hilo iliyopo Mabatini.

 

10 years ago

StarTV

Mwili wa shahidi aliyeuawa Kenya wapatikana

Serikali ya Kenya imeutambua rasmi mwili wa jamaa mmoja uliopatikana katika mbuga ya wanyama, kuwa ni wa shahidi wa mahakama ya ICC, Meshack Yebei, katika kesi inayomkabili makamu wa rais wa Kenya, William Ruto.

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, uchunguzi wa chembechembe za DNA umehakikisha fika kuwa ni yeye.

Tangazo hilo linatarajiwa kuipa afueni familia ya Yebei, ambayo nusura izike mwili tofauti mnamo mwezi Januari, kabla ya kuambia kwamba mwili huo haukuwa wa mtoto...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya:Mwili washahidi aliyeuawa wapatikana

Uchunguzi wa chembechembe za DNA umehakikisha kuwa ni mwili wa shahidi wa mahakama ya ICC

 

10 years ago

GPL

ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA MKOANI DODOMA

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu akiongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa Askari  Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI aliyeuwawa huko Chang’ombe ya juu mkoani Dodoma na mtu aliyefahamika kwa jina la TISSI SIRIL MALYA.
Maombolezo wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa askari huyo shujaa.…

 

10 years ago

Habarileo

Mwili wa Msierra Leone aliyeuawa akitoroka wasota Muhimbili

WAKATI mwili wa mtuhumiwa wa dawa za kulevya, Abdul Koroma (33) aliyeuawa wakati akijaribu kutoroka ukiendelea kuhifadhiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Kipolisi wa Ilala limesema linasubiri kujitokeza kwa ndugu wa marehemu wakati wowote kwa ajili ya kuja kuuchukua mwili huo.

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA LEO MKOANI DODOMA, MTUHUMIWA WA MAUAJI AUWAWA NA WANANCHI

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kama Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema kama alivyotoa taarifa jana tarehe 04/02/2015 kuhusiana na kuawa kwa Askari  Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI huko Chango’ombe ya juu Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI S/O SIRIL MALYA.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dododoma lilianza msako wa kumtafuta mtuhumiwa huyo baada ya kufanya kitendo hicho cha kinyama cha kumkata kata kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani