UNDANI POLISI ALIYEUAWA NA MAJAMBAZI
![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*SEzG3DDbDzUy0RbtNV*AmFsg**R9XawG6NbbT*uuQ9NztxUoCv0C8gCs6CgNJ3EzGxQnwyR6hYj0X74Z4-t4J/polisi.jpg)
Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Going,’ Pwani JUMANNE, Juni 10, mwaka huu majambazi yapatayo sita, yalivamia Kituo Kidogo cha Polisi Kimanzichana na kupora silaha na baadaye kumuua askari polisi mmoja, mgambo mmoja na kumjeruhi mwingine na kutoweka. Marehemu Venance Mushi enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa mashuhuda, majambazi hayo yalifika katika kituo hicho majira ya saa saba usiku, yakiwa yanakokota bodaboda mbili...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Sista aliyeuawa na majambazi kuagwa leo
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-cSjegndslCI/U2Ei95WHc5I/AAAAAAAFeK4/IgSPjLml578/s72-c/unnamed+(72).jpg)
Matukio ya Kuaga mwili wa askari aliyeuawa na majambazi Tabora
![](http://4.bp.blogspot.com/-cSjegndslCI/U2Ei95WHc5I/AAAAAAAFeK4/IgSPjLml578/s1600/unnamed+(72).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-abCfpgFtliM/U2Ei-EGu21I/AAAAAAAFeLM/GT1Qt9sUQ3c/s1600/unnamed+(73).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa7lPzCa*8sSRln*MWDqjiJvO5piuvfUTApPhE-m6*dm0gz2LN1ZVTfwh1h2UgfX9XrE8StQlnrsfHtKzht0HSve/a.jpg?width=650)
ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA MKOANI DODOMA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RU-BxEuC-r7p*ZGFOG0kr9FHq2lRil08mIdsIfdHpduElPPGaix8ouXXRVQOmd-UiqwFmXJNUQjUTph4f76rpVnUEcp71XSL/Polisi.jpg?width=650)
UNDANI POLISI KUJIUA KWA RISASI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nLML9an*avqOshNr46D7vBhs9oF7yLzd3hNSR4mbmSNT3XhgNrYGIi**7YigpyyqJRjlmutkYl-scMHEmNmlkxwgprN4AElY/FRONTUWAZI.jpg)
POLISI ALIYEUAWA AKIMUOKOA MTOTO, HAYA NDIYO MANENO YAKE YA MWISHO!
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TutPqtHSKEY/VNN7ThDmasI/AAAAAAAHB_o/ex3b-jQDxFc/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA LEO MKOANI DODOMA, MTUHUMIWA WA MAUAJI AUWAWA NA WANANCHI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s72-c/kova18_232_300.jpg)
TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s1600/kova18_232_300.jpg)
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...
11 years ago
Habarileo04 Mar
Majambazi yaua polisi hotelini
ASKARI Polisi, Mohamed Mjomba (44) amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na majambazi, waliovamia Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Uroa Wilaya ya Kati Unguja.
11 years ago
Habarileo30 Apr
Majambazi yaua Polisi wawili
ASKARI Polisi wawili kutoka Tarafa ya Usoke wilayani Urambo mkoani Tabora, wameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan Kaganda, alisema mauaji hayo yamefanyika juzi saa 2: 30 usiku katika kijiji cha Usoke wilayani Urambo.