MWENYEKITI WA JKT NILILAZIMISHWA NIFANYE MAPENZI
![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2Ymqlg0BRmGCPYvsJ9MD-Dy297oLrFuReU236aU1x*MslE-Yt-aHB9ydoCZG3Q1pxWNl3wFgS6JCIO2VPXo5mNM/r.jpg)
Mwandishi Wetu/Uwazi HALI bado ni tete kwa mwenyekiti wa vijana waliofuzu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakini wakakosa ajira, George Mgoba kufuatia kutekwa kwake na kujeruhiwa vibaya hivi karibuni na watu ambao bado hawajajulikana. Mwenyekiti wa vijana waliofuzu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakini wakakosa ajira, George Mgoba akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili . Mgoba ambaye mpaka juzi alikuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL28 May
MZUNGU ALINILAZIMISHA NIFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE - HAUSIGELI
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Mwenyekiti wa ‘JKT’ akamatwa kwa tuhuma za uchochezi
10 years ago
GPLASKARI WA JKT WAENDA KUMJULIA HALI MWENYEKITI WAO ALIYETEKWA
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-oveMaOHiLPQ/Ve7gGRMqPYI/AAAAAAAAJLA/JdK7phaZH0U/s72-c/jknalowassa.jpg)
LOWASSA ; SINA MUDA NA NYINYI,NIACHENI NIFANYE KAMPENI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-oveMaOHiLPQ/Ve7gGRMqPYI/AAAAAAAAJLA/JdK7phaZH0U/s640/jknalowassa.jpg)
MGOMBEA urais wa Tanzania anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa amesema hana muda wa kujibu matusi na kejeli zinazotolewa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi yake.
Badala yake amesema anatumia muda uliobaki wa kampeni kutafuta kura kwa wananchi kwa kunadi ilani ya chama chake.Akizungumza kwenye mikutano ya hadhara, Bunju na baadaye Mbezi mkoani Dar es Salaam, Lowassa alisema kila alichoahidi ataanza kukifanyia kazi punde tu baada ya...
10 years ago
Bongo512 Sep
Alikiba: ‘Mwana’ ilikuwa nifanye na Fally Ipupa lakini tukaogopa, fahamu kilichomwogopesha
10 years ago
CloudsFM20 Apr
Nilishawahi kuongea na Mangwea wiki moja kabla hajafa na akakubali nifanye naye collabo
Mshindi wa Airtel Trace music star Mayunga Malimi leo alifunguka kupitia interview yake aliofanya na Clouds Digital na kusema alishawahi kumwomba marehemu Magwea kufanya naye collabo na akakubali bila malipo yoyote ila kwa bahati mbaya baada ya wiki Magwea alifariki na ndipo alipo amua kumshirikisha Mr Blue baada ya Magwea kufariki katika wimbo wake huo wa Tell Me.
10 years ago
Bongo Movies11 May
Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.
Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni, Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa
“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*Wm6yuRZ6x15Qf8WBae0pCp*0urHCnsE0m5RT-Dl6JZOiJXlfjNBxXiAeTqgTdh*8ZW1CyPtg6bBeSqPlUEafRo/mahaba.jpg?width=650)
KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?