Alikiba: ‘Mwana’ ilikuwa nifanye na Fally Ipupa lakini tukaogopa, fahamu kilichomwogopesha
Alikiba amefunguka kuwa single yake mpya ya ‘Mwana’ ambayo ilirekodiwa miaka miwili iliyopita, hapo mwanzo alipanga angemshirikisha mwanamuziki wa DRC, Fally Ipupa. Kiba amesema mipango hiyo ilikuja kubadilika baada ya kugundua ngoma imekuwa kali bila Fally hivyo ikamlazimu kuiacha kama ilivyo na kuandaa wimbo mwingine atakaomshirikisha star huyo. “(Mwana) ilikuwa nifanye na Fally before, lakini […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmxEb-QNzz16tygNrPo*TdWkRsZ64aFzr5k-qhJ1wljswP2tKiT6kAb8s67vT2DtnICS7NoNFtMvRGRNGO2RnfEp/MAMAWEMA.jpg)
BARNABA, FALLY IPUPA ANAKUFAGILIA, SO WHAT?
5 years ago
Bongo514 Feb
Video: Fally Ipupa – Eloko Oyo
Msanii Fally Ipupa ameachia video mpya wimbo unaitwa “Eloko Oyo”, angalia hapa chini alafu toa komenti yako.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Diamond, P Square, Fally Ipupa pamoja
BAADA ya kutamba vilivyo na ngoma yake ya “My Number One Remex’ aliyoimba na msanii kutoka Nigeria, Davido, msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ anatarajia kupanda...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Ali Kiba aibuka na Fally Ipupa
NYOTA wa muziki wa Bongo fleva, Ali Kiba, yupo mbioni kuachia wimbo aliomshirikisha msanii kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fally Ipupa. Kwa mujibu wa mkali mwengine wa muziki...
11 years ago
Mwananchi18 May
Fally Ipupa: Nyota anayeipaisha DRC kimuziki
10 years ago
Bongo516 Mar
Barnaba: Fally Ipupa anakifurahia kipaji changu
9 years ago
Bongo516 Oct
P-Square na Fally Ipupa walitamani kuwachukua dancers wa Diamond
10 years ago
Bongo524 Oct
New Video: 2Face Idibia f/ Fally Ipupa — Diaspora Woman
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Christian Bella awatamani Fally Ipupa, P Square, Wiz Kid